yuda75
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 520
- 1,412
Mimi nilikuwa nimelewa basi kichwa kidogo hakikutaka mapumziko kabisa kila dakika network inasoma basi katika kupepesa macho na macho yakaona kilicho dhaniwa ni lulu kumb ni limao
Basi mazingira yakawekwa vizuri kwenda kupumzishwa vichwa vyote
Baada ya mapambazuko ya alfajiri nilijutaaa kabisa kumbe macho yalikosea kuangalia, nilichukua mzee mwenzangu. Mzee kweli hakika kumtoa nje ilikuwa ni kazi kutokana na heshima yangu ya kutoa pisi kali. Nilichekwa sana na majirani zangu ila kichwa kilipumzika