Wazee wa kuopoa mkishalewa halafu asubuhi mnajutia, hebu tueleze ulijutia nini?

Wazee wa kuopoa mkishalewa halafu asubuhi mnajutia, hebu tueleze ulijutia nini?

Nilimuona ana hips kama chupa ya konyagi,
Asubuh sikuiona ile shepu
 
Ukitoa lock si ndiyo utarudi kule kule tena[emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3]


Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Here waiting for your confessions[emoji14] kuna mwingine kulipopambazuka ndiyo akagundua huyo dada ana mapele mwili mzima zaidi ya fenesi. Alistressika mwezi mzima[emoji3][emoji3] hapana chezea maamuzi ya kichwa kidogo mixer pombe/mitungi.
Huyo ilitakiwa atoke nduki kuelekea kituo cha afya kupata PEP ikiwezekana asahau hata kuvaa suruali
 
Back
Top Bottom