Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Pombe ni real-time photoshop, yaani inamu-edit demu mwenye sura ngumu makaa ya mawe anakuwa kama Chakorii
Ahahahahah! Alitaka uwe father house ghafla, uongo??Ilikuwa week end moja, nilikua ndio nimehamia hapa kwa huyu maza house na ni single ila sio mzuri sana, basi wee nilikua nimepiga sana kinywaji mtaani. Pale bar nilikwepa sana vishawishi vya kuchukua dem, lahaula kufika nyumbani maza house akagonga anataka nilipe hela ya bili ya maji, si nikamwambia ingia mama nikupe, sijui nilipata wapi ujasiri ule mama alivyo ingia tu moja kwa moja nikaanza kubambia yule maza alishangaa sana manake mimi ni mkimya sana sana, nilikula mzigo usiku ule kwa ujasili wa ajabu. Daaah kesho yake sasa nimeamka nikawa nakumbuka kama nimekula maza house sikuamini mpaka nilipo kuja kuona vifanyio chini ya kitanda. nilijilaani sana aiseee na yule maza kumbe kanipenda akawa kila siku nataka aje alale au niende kwake. sikumaliza mieze minne nilihama pale ndani.
kaka apo five n patam sanaaaa watoto wa pale wazuri sanaaaaNilinunua malaya 5N nikapiga kimoja cha fasta (short time), nikavutiwa na kumlipa upya ili tukalale nyumbani kwangu & kweli tulikwenda.
Nilipofika home sikukawia, nikabutua moja lingine kali na kwenda naye kuoga. Haya yote yalikuwa mazingira ya gizani.
Nilipofika bafuni nikawasha taa; ebwaneeeeeeh mtoto ana mapaja meupeeeee, nikala kavu moja. Niliporudi kitandani nikamalizia tena moja la kulalia na nikalala hoi. Hili nalo sikutumia kinga.
Asubuhi nilipoamka nilijilaumu sana kwanini niliuza mechi. Nilipima mara 04 katika kipindi cha miezi mitatu na nikawa poa.
Demu yule nilimkabidhi rafiki yangu, anajipigia hadi leo & ninamtamani tena[emoji39]