Naweka seat na mie nitarudi kuwasoma 😂Here waiting for your confessions😛 kuna mwingine kulipopambazuka ndiyo akagundua huyo dada ana mapele mwili mzima zaidi ya fenesi. Alistressika mwezi mzima😀😀 hapana chezea maamuzi ya kichwa kidogo mixer pombe/mitungi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna moja ngoja nisiisimulieHere waiting for your confessions[emoji14] kuna mwingine kulipopambazuka ndiyo akagundua huyo dada ana mapele mwili mzima zaidi ya fenesi. Alistressika mwezi mzima[emoji3][emoji3] hapana chezea maamuzi ya kichwa kidogo mixer pombe/mitungi.
Niliwahi kuopoa kumbe mzimu...ukimlalia anakuwa kama puto linaloisha upepo ..ukitoka anarudi kuwa kawaida..halafu alikuwa kibonge
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
U r missed!Naweka seat na mie nitarudi kuwasoma [emoji23]
Juzi nimepita Msata, nikawaza sijui nimPM mganga!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uncle bado anaendeleza gambe?Ninachojutia mpaka sas sijawahi kunywa pombe, hii ni baada ya kumwokota mjomba kwenye mfereji wa buguruni
Sasa hivi ndo kazidi, amekula mpaka ada ya mwanae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uncle bado anaendeleza gambe?
Tupe story kidogo Doctor, hadi wewe doctor yameshawahi kukukuta duh😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna moja ngoja nisiisimulie
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
dah!!!poleni sana Mkuu.Sasa hivi ndo kazidi, amekula mpaka ada ya mwanae
hiyo tunaimba "ameingia cha kike... Ewaaaah!"Here waiting for your confessions😛 kuna mwingine kulipopambazuka ndiyo akagundua huyo dada ana mapele mwili mzima zaidi ya fenesi. Alistressika mwezi mzima😀😀 hapana chezea maamuzi ya kichwa kidogo mixer pombe/mitungi.
Waje tu kwakweli😄Naweka seat na mie nitarudi kuwasoma 😂
[emoji3][emoji3][emoji3]Juzi nimepita Msata, nikawaza sijui nimPM mganga!!
You're missed too!