Lakini mkandarasi wa mradi huo ni mchina!Wachina waga wana namna ya kudeal na hayo madude Nawaona mara nyingi anyway at wananchi wanagombea barabara aiseee so sad
Atakuwa hana uzoefu fieldLakini mkandarasi wa mradi huo ni mchina!
Siyo mimi bali ni serikali mara zote inapopelekewa malalamiko ya uchawi huyatupilia mbali kuwa serikali haiamini katika uchawi!Kutokuamini kwako, haimaanishi kwamba hakipo!
Wangeomba bao hata Diaba 5 wangepata Ila mate Ni changamoto labda wangeyaomba kwa Wala ugoro.
So sad,hao ndio wazee wanaoonekana wana busara,Alafu baadae wakikaa wanawasengenya wachaga wezi, kwanini uchagani kuna maendeleo kuliko kwao.Mbali na Shs. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za mate ya binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki.
Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs milioni moja na nusu.
Maoni: Hivi kweli serikali bado inaamini ushirikina kiasi cha kutishiwa na wazee wa Kwamsisi? Je serikali imekuwa ikilipa fedha za namna hii katika miradi yake yote inayotekeleza?
Wazee hao wanahitaji elimu ya ziada!So sad,hao ndio wazee wanaoonekana wana busara,Alafu baadae wakikaa wanawasengenya wachaga wezi, kwanini uchagani kuna maendeleo kuliko kwao.
Stupidity!....
Ingekuwa enzi za Kuberi zile hayo mate yangepatikana fasta tu kwa vijana mana si kwa kutema kuleWangeomba bao hata Diaba 5 wangepata Ila mate Ni changamoto labda wangeyaomba kwa Wala ugoro.
Sasa wawaroge askari wanaotesa vijana huko Handeni na kuwabambikia kesiUchawi upo kaka.hao wanaroga balaa.hata boss wako hakuoni anamuona kijana wao tu.
Acha watoe
Na Kuna wale jamaa walikua wanakula Ile kitu inaitwa Pariki,kwa kutema mate walikua hawajambo.Ingekuwa enzi za Kuberi zile hayo mate yangepatikana fasta tu kwa vijana mana si kwa kutema kule
Unadhani hawarogwi?inategemea na Kinga yako.Sasa wawaroge askari wanaotesa vijana huko Handeni na kuwabambikia kesi
Huo jina la ukoo tu, simfahamu. Ukoo mkubwa sana kama majina mengine ya Tungaraza, Rweyunga, Rwekaza, na mengineyo.Unadhani hawarogwi?inategemea na Kinga yako.
Ila mzee Hilo jina lako limenikumbusha mbali sana.
Kuna dogo nilisoma nae alikuwa anaitwa Alexander rutagwerera.
Alifariki kwa malaria unamjua?
Hivi hawa wazee hawana kinyaa?Sado 3 za mate ya binadamu wanataka kuiba nyota za watu. Vitu vingine vinavyohitajika havimuachi Mtu Salama
Matambiko na Uchawi ni vitu 2 tofauti!Siyo mimi bali ni serikali mara zote inapopelekewa malalamiko ya uchawi huyatupilia mbali kuwa serikali haiamini katika uchawi!