Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Mbona inazungusha mwenge kama haimini.Siyo mimi bali ni serikali mara zote inapopelekewa malalamiko ya uchawi huyatupilia mbali kuwa serikali haiamini katika uchawi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona inazungusha mwenge kama haimini.Siyo mimi bali ni serikali mara zote inapopelekewa malalamiko ya uchawi huyatupilia mbali kuwa serikali haiamini katika uchawi!
Aliweka vitu vyake pale,kama yule kiyeuyeu wa Iringa na ishu ya line za umeme kugoma kuwaka.Mwinyi alienda kumuomba bibi fisi aruhusu barabara ipite kuelekea bugando katika eneo lake
tena kwa fidia kubwa bibi aligoma na haikupita na walipo jaribu kutumia nguvu walijuta kilicho wapata.
Matambiko na Uchawi ni vitu 2 tofauti!
Nyerere mwenyewe alifanyiwa Matambiko kwenye harakati za kudai Uhuru!
Bila mwenge ccm itakufa,Serikali inayoamini kwamba mwenge unaweza kuleta amani. Na ikakimbiza mwenge nchi nzima mijini na vijijini kwa kutumia mabilioni ya fedha za wananchi fukara. Basi ikukae akilini kwamba hiyo nchi bado fikra za viongozi wake ziko zama za kale za mawe
Hao waChina unaowasema nadhani wangelipa cash kama ni kiasi hicho cha pesa.Wachina waga wana namna ya kudeal na hayo madude Nawaona mara nyingi anyway at wananchi wanagombea barabara aiseee so sad
Waafrika walikuwa wanashilikiana na wafanyabiashara ya utumwa kuwapeleka wenzao utumwani.Aliweka vitu vyake pale,kama yule kiyeuyeu wa Iringa na ishu ya line za umeme kugoma kuwaka.
Ujinga ndio bado umewatawala. Ushirikina ni sehemu kubwa ya utamaduni wa watu wa handeni. Uchawi na ushirikina ni imani sawa na dini ila ni mbaya zaidi kwa sababu inakwamisha maendeleo kwa watu kuishi kwa hofu ya kuogopa kulogwa.Mbali na Shs. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za mate ya binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki.
Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs milioni moja na nusu.
Maoni: Hivi kweli serikali bado inaamini ushirikina kiasi cha kutishiwa na wazee wa Kwamsisi? Je serikali imekuwa ikilipa fedha za namna hii katika miradi yake yote inayotekeleza?
Sio kweli..... Matambiko ni tofauti Sana, Yana Viwango tofauti Sana.... Kipindi napata Mtoto wangu wa Kwanza, Siku ya 40 alikuja Aunty yangu, aliomba niaandae Maziwa, mchele na maji na Chumvi Kama sikosei.Ni ngumu sana kumtenganisha mtambikaji, mganga wa jadi na mchawi! Mbinu wanazotumia kutekeleza mambo yao yanafanana mno!
Tambiko ni kuomba heri kwa Mizimu...Tambiko ni uchawi...period!!!
Kwa kuwa Nyerere alifanya haiondoi uhalisia kwamba tambiko ni aina ya uchawi...kuna aina nyingi za uchawi/ulozi
Hilo lako siyo tambiko! Je mlienda makaburini?Sio kweli..... Matambiko ni tofauti Sana, Yana Viwango tofauti Sana.... Kipindi napata Mtoto wangu wa Kwanza, Siku ya 40 alikuja Aunty yangu, aliomba niaandae Maziwa, mchele na maji na Chumvi Kama sikosei.
Tambiko ni kuomba heri kwa Mizimu...
Uchawi ni ama kudhuru, kuuliza ama kuua...
Ni vitu viwili tofauti, hutaki unaacha.
Cwanasema Lori moja halionekani je bei ya hilo Lori ni bei gani ?labda cna hakikakama wanahuckaToka milioni 21 mpaka milioni 1 ushee
Hawa ni wazee wa mchongo
Sio kweli..... Matambiko ni tofauti Sana, Yana Viwango tofauti Sana.... Kipindi napata Mtoto wangu wa Kwanza, Siku ya 40 alikuja Aunty yangu, aliomba niaandae Maziwa, mchele na maji na Chumvi Kama sikosei.
Tambiko ni kuomba heri kwa Mizimu...
Uchawi ni ama kudhuru, kuuliza ama kuua...
Ni vitu viwili tofauti, hutaki unaacha.
Wewe unaendaga Makaburini...?Hilo lako siyo tambiko! Je mlienda makaburini?
Unajua uchawi na tambiko vile unavyofahamu mwenyewe.....Mizimu ni nini na inaishi wapi?
Tambiko ni aina ya uganga wa kienyeji/ulozi na uganga wa kienyeji ni aina ya uchawi...
Hayo makololo uliyotaja ni sadaka ya kukamilisha.moja ya ibada ya kichawi iitwayo tambiko...
Usilolijua ni usiku wa gizaMbali na Sh. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki.
Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs milioni moja na nusu.
Maoni: Hivi kweli serikali bado inaamini ushirikina kiasi cha kutishiwa na wazee wa Kwamsisi? Je serikali imekuwa ikilipa fedha za namna hii katika miradi yake yote inayotekeleza?
Unajua uchawi na tambiko vile unavyofahamu mwenyewe.....
Hafu unaniuliza Mizimu ni nini... Kwamba hujui Mizimu?
Umetoka sayari ya wapi?
Tusichoshane....sipo kutafuta credit hapa.
So roho mbaya ni asiliWaafrika walikuwa wanashilikiana na wafanyabiashara ya utumwa kuwapeleka wenzao utumwani.
Roho mbaya tumezaliwa nayo.So roho mbaya ni asili
Sasa hapa unamueleza nini au unataka kuonyesha ulivyo bingwa wa slang!Aight! you can walk away...newbie...you can walk away!!
JF millennials...dunno shit bout putting up a debate on somethin..!!!