Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Ni kuwaendekeza tu
Hapo ni kushusha tu lami yenye kiwango cha es jiara halaf tuone uchawi wao
Hapo ni kushusha tu lami yenye kiwango cha es jiara halaf tuone uchawi wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa kwa nini serikali isifanye hivyo ili tuone nini kitatokea!Ni kuwaendekeza tu
Hapo ni kushusha tu lami yenye kiwango cha es jiara halaf tuone uchawi wao
TulsNa Kuna wale jamaa walikua wanakula Ile kitu inaitwa Pariki,kwa kutema mate walikua hawajambo.
So sad,hao ndio wazee wanaoonekana wana busara,Alafu baadae wakikaa wanawasengenya wachaga wezi, kwanini uchagani kuna maendeleo kuliko kwao.
Stupidity!....
Unani hi una kinyaa mkuu?Hivi hawa wazee hawana kinyaa?
Ndo ustaarabu wenyewe huo mkuu! Ofisi inakuja kukupigieni magoti duh!Si huwa mnasema kwamba Pwani mmestaarabika ?
Lucas kankiko Rugashoborolwa😁😁😁Huo jina la ukoo tu, simfahamu. Ukoo mkubwa sana kama majina mengine ya Tungaraza, Rweyunga, Rwekaza, na mengineyo.
Kule awataki maendeleo.Uchawi upo kaka.hao wanaroga balaa.hata boss wako hakuoni anamuona kijana wao tu.
Acha watoe
Handeni kuliko endelea ni handeni mjini.Kule awataki maendeleo.
Serikali inayoamini kwamba mwenge unaweza kuleta amani. Na ikakimbiza mwenge nchi nzima mijini na vijijini kwa kutumia mabilioni ya fedha za wananchi fukara. Basi ikukae akilini kwamba hiyo nchi bado fikra za viongozi wake ziko zama za kale za maweMbali na Shs. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za mate ya binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki.
Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs milioni moja na nusu.
Maoni: Hivi kweli serikali bado inaamini ushirikina kiasi cha kutishiwa na wazee wa Kwamsisi? Je serikali imekuwa ikilipa fedha za namna hii katika miradi yake yote inayotekeleza?
Ila tanga pagumu kiroho aisee,kutoboa kule ni mtihani.Handeni kuliko endelea ni handeni mjini.
Kuna Kijiji kipo pale amani na sua.
Soda hamna madukani.tena ukiuliza wanakushangaa.ni anasa
Wala sipingi.maana nimejionea mwenyeweIla tanga pagumu kiroho aisee,kutoboa kule ni mtihani.
Yaani ndumbaism ni SAwa na maji ya kunywa thus hata uwezo wao wa kufikiri upo chini sana kama Lindi sababu ya ushirikina.
Ushirikina unapunguza uwezo wa kufikiri.
Au risasiWazee hao wanahitaji elimu ya ziada!
Njia unayoitaka wewe haitakuwa na faida kwa serikali, serikali inauwezo wa kujenga bila kuwashirikisha wananchi ila tatizo ni ulinzi wa mradi, mradi huo si wa nyumba moja, ni barabara. Serikali inajaribu kuwa karibu na wananchi ili washiriki kuulinda mradi, ni hilo tu.Mbali na Shs. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za mate ya binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki.
Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs milioni moja na nusu.
Maoni: Hivi kweli serikali bado inaamini ushirikina kiasi cha kutishiwa na wazee wa Kwamsisi? Je serikali imekuwa ikilipa fedha za namna hii katika miradi yake yote inayotekeleza?
Kama Ina amini mwenge kwann isiamini hayo.Serikali inawatambua wazee,ukisikia watu wanaoitwa wazee wa mji,mkoa,nk ogopa Sana kaaa mbali na hao watu,hao ni viongozi wa daraja la juu kabisa upande wa pili.Mbali na Shs. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za mate ya binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki.
Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs milioni moja na nusu.
Maoni: Hivi kweli serikali bado inaamini ushirikina kiasi cha kutishiwa na wazee wa Kwamsisi? Je serikali imekuwa ikilipa fedha za namna hii katika miradi yake yote inayotekeleza?
Hakika kama walivyofanya ulaya bullets zilitumika Sana kuwaondoa wapumbavu thus wakapata Jamii mpya inayofikiri kwa kutumia akili na sio pumbazo hadaa.Au risasi
Sio wachina wote ni washirikinaLakini mkandarasi wa mradi huo ni mchina!
Tofauti ya mkoa na tangu unaiona mpakani Mwa Tanga na kilimanjaro,same,mwanga pakame lakini pana uhai nyumba za bati tele,Tanga kwenye rutuba nyumba aibu karne hii bado wanaishi kwenye tope na nyasi,yaani hata kuchoma tofali na kutengeneza vigae vya udongo hawawezi, wanahitaji fimbo.So sad,hao ndio wazee wanaoonekana wana busara,Alafu baadae wakikaa wanawasengenya wachaga wezi, kwanini uchagani kuna maendeleo kuliko kwao.
Stupidity!....