Serikali au mwekezaji anaweza kufanya some social responsibility kwa kufanya kitu cha kimaendeleo kwenye eneo husika, siyo kujihusisha kwenye debate za maswala ya kishirikina kama haya.........vinginevyo serikali itamke wazi kuanzia sasa itaanza kuamini ushirikina, uchawi, ulozi, mizimu na imani nyingine za nguvu za giza. Pia kama serikali inatoa sadaka kwa wachawi na wazee wanaojinasibu kutumia nguvu za giza kukwamisha miradi ya maendeleo, basi ianze pia kutoa sadaka kwa taasisi za kidini maana na wenyewe wanajihusisha na mambo ya imani ili wapate msaada kutoka upande huo kwa minajili hiyo hiyo ya kufanikisha miradi ya maendeleo, natumai wahusika wataipata hii.......