Huyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.
Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini
Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.
Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.
Mungu atunusuru kizazi chetu.