Wazee wa marangirangi wapo bize dunia itumbukie shimoni

Wazee wa marangirangi wapo bize dunia itumbukie shimoni

Kwamba huyo binti ni shoga msagaji au ...au kwamba wote wanajua maana ya hizo rangi?? Au kwamba wote wakivaa hizo rangi maana yake wanavaa kwa kuhamasisha Mambo hayo na wenyewe wanafinyiwa ndani!? Kuna wengine hizo rangi hatujui maana yake ..MTU kapenda Tu kavaa unawezaje kusema hivyo!?
 
Huyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.

Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini

Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.

Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.

Mungu atunusuru kizazi chetu.

View attachment 2479643
As long as she know nothing she is innocent.. haya mambo tuwaachir wazungu sisi waafrika wengi wetu hata hatujui chochote iwe nguo, mtandio n.k mtu kaipenda kanunua tu. Diamond pamoja na kuwa na management na video zake kuongozwa na madirector wakubwa tuliona aliweka bendera ya kupinga kuondolewa kwa utumwa possibly yeye na management yake hawakua wanajua chochote kuhusu iyo bendera
 
mkristo mimi ila tuwe wakweli, katika hili la mavazi wenzetu waislam wameshinda. Uliona wapi binti kavaa ushungi halafu yupo nusu uchi?
Sketi fupi haimaanishi nusu uchi jamaa yangu concept nayojaribu kuiraise ni
Kuwa hawa watoto wanavaa shungi lakini usitirishaji wa kichwa na.miguu hauendani mapaja wanayaacha wazi sketi zinakuwa hazifuniki vizuri maeneo tamanishi hasa nyumanyuma
 
Huo si upinde wa mvua tunaojifunza darasani?
Zamani tulikuwa tunatazama orijino komedi familia nzima sebuleni tunamuona joti alikuwa anaigiza kama asha ngedere amevaa kike halikuwa tatizo lolote.
ila siku hizi kadri haya mambo yanavyo ongelewa yanafanya yale maigizo tunaona kama tatizo.
nadhani tunapoyaongelea sana haya mambo ndio tunayapa promo. bora kuyakalia kimya.
 
Sketi fupi haimaanishi nusu uchi jamaa yangu concept nayojaribu kuiraise ni
Kuwa hawa watoto wanavaa shungi lakini usitirishaji wa kichwa na.miguu hauendani mapaja wanayaacha wazi sketi zinakuwa hazifuniki vizuri maeneo tamanishi hasa nyumanyuma

sio kweli, binti aliyevaa shungi (ambao wengi ni waislam)hawezi akavaa vibaya kuuacha mwili wazi, never. Wanaoachia mwili huwa Hawavai shungi.
 
sio kweli, binti aliyevaa shungi (ambao wengi ni waislam)hawezi akavaa vibaya kuuacha mwili wazi, never. Wanaoachia mwili huwa Hawavai shungi.
Sawa incharge experience zangu nabak nazo mimi na wewe baki na utata
 
Wengi wa mabinti wa shule wa kiislamu sijui ushungi ni fasheni haya tuseme umejisitiri kichwani huku nyuma mapaja yako wazi kutokana na sketi fupi hapo wanakuwa wamejisitiri nini?
Acha uongo shule gani inayoruhusu mapaja wazi hyo shule labda ya baba yake.
 
Na ukiuona upinde wa mvua huko juu mawinguni panda ukaufute, nyie watu wakati mwingine mnatakiwa mpakwe pilipili machoni na masikioni labda ujinga unaweza kuwaisha.
 
Huyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.

Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini

Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.

Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.

Mungu atunusuru kizazi chetu.

View attachment 2479643
Hata zile rangi za jamiichek ya jamiiforum Huwa sizielewi
 
Binti hana hatia, sidhani kama anajua chochote, yeye kanunua begi kaona ni zuri anakwenda nalo shule..

Upinde wa mvua unarangi za namna hiyo..maana hiyo hizo rangi zipo kabla yao.
 
Huku kuamini kwingine ni kwa hovyo sana,,,kuni-judge mimi ni shoga kwa sababu tu nimeonekana na kitu chenye marangi hayo ni ujinga kiwango cha reli ya mwendokasi.
 
Upinde wa mvua na rangi zake upo kabla hata ya Mashoga kuvamia na kuzitumia,kwahio hao watoto acha wavae kwa amani,upinde wenyewe original upo na hujiitokeza baada ya mvua,sasa utasema tena wameupachika wao mawinguni?

We tumia rangi, akijichanganya akadhani wewe unasapoti mfundishe adabu.

Kinachokufanya usapoti sio kuvaa bila kujua,bali kuvaa na moyoni ukijua kwamba nataka wajue nasapoti
 
Huyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.

Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini

Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.

Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.

Mungu atunusuru kizazi chetu.

View attachment 2479643
Umechangia kuhamasisha
 
Upinde wa mvua ni upinde wa mvua na una story yake ndani ya biblia haujawahi kuwa tofauti na wala hautakuwa

Ma bwabwa kujifanya wao haiwezi kubali maana

Yenyewe ma bwabwa yalitakiwa kuchukua alama ya moto ya sodoma na Gomorra
 
Ni chama kama vilivyo vyama vingine vya siasa, vyama vya kijamii na vilabu vya michezo wanavyotumia rangi zao kujitangaza., By the way jumuiya za mashoga hazilazimishi mtu kuwa shoga, wanapigania kutambuliwa kwa hali zao walivyo. Ni sawa na chama cha walemavu kwa jinsi wanavyopambana wanatambuliwa na kuthaminiwa utu wao
 
Back
Top Bottom