Wazee wa marangirangi wapo bize dunia itumbukie shimoni

Wazee wa marangirangi wapo bize dunia itumbukie shimoni

Ni Ujinga kuamini rangi zinasababisha ushoga. Ni upumbavu tu leo hii watu kuogopa rainbow. Hizi akili mnatoa wapi? Kataeni ushoga matendo upinde wa mvua hawakuleta mashoga.
Kwanza wanaelewaaa wabongooo?? Akili zao zinawaza ushoga na usagaji, ndo maana kila kitu kwao ni mapenzi ya jinsia 1 khaaaah
 
Na ukiuona upinde wa mvua huko juu mawinguni panda ukaufute, nyie watu wakati mwingine mnatakiwa mpakwe pilipili machoni na masikioni labda ujinga unaweza kuwaisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mume puliiiiizzzz, mbavu zangu zinaumaaaa.
 
Ni chama kama vilivyo vyama vingine vya siasa, vyama vya kijamii na vilabu vya michezo wanavyotumia rangi zao kujitangaza., By the way jumuiya za mashoga hazilazimishi mtu kuwa shoga, wanapigania kutambuliwa kwa hali zao walivyo. Ni sawa na chama cha walemavu kwa jinsi wanavyopambana wanatambuliwa na kuthaminiwa utu wao
Ahsanteeeeeee sanaaaa wape somo hawa wenzioo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanafira wanawake afu kutwa kulalamikia Wamarekanj
Tena wako proud, kusifia kuwafira wanawake.
Ila wakisikia ushoga wanalipuka km moto wa kifuu.
Unafiki unawasumbuaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wenye sket fupi uliwaona wapi na wakiwa na shungi
Huyo Hapo. Na akifa atakamuliwa mavi aingie peponi msafi.😆😆😆😆😆😆😆
Screenshot_20221226-230842.jpg
 
Kwamba huyo binti ni shoga msagaji au ...au kwamba wote wanajua maana ya hizo rangi?? Au kwamba wote wakivaa hizo rangi maana yake wanavaa kwa kuhamasisha Mambo hayo na wenyewe wanafinyiwa ndani!? Kuna wengine hizo rangi hatujui maana yake ..MTU kapenda Tu kavaa unawezaje kusema hivyo!?
Na hizi rangi zipo miaka na miaka upinde wa mvua. Leo hii watu wanakuwa wapumbavu kila wakiona rangi basi eti ni ushoga. Ushoga hautendwi na rangi unatendwa na watu. Yaani leo mtu aogope rangi kweli? Miafrika mipumbavu sana....
 
Huyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.

Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini

Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.

Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.

Mungu atunusuru kizazi chetu.

View attachment 2479643
Hiyo rangi ina madhara gani kwako? Inahamasisha vipi ushoga!? Mambo mengine huwa naona niujinga tu, tuache kutumia vitu tunavyoishi navyo kisa kuna wapuuzi wachache wamevichagua kuwa utambulisho wao!!!??? Binafsi siwaungi mkono LGBTI ila sioni shida kwa mtu kuvaa au kutumia nembo ya upinde maana ilikuwepo kabla ya mashoga na ushoga wao.
 
Hiyo rangi ina madhara gani kwako? Inahamasisha vipi ushoga!? Mambo mengine huwa naona niujinga tu, tuache kutumia vitu tunavyoishi navyo kisa kuna wapuuzi wachache wamevichagua kuwa utambulisho wao!!!??? Binafsi siwaungi mkono LGBTI ila sioni shida kwa mtu kuvaa au kutumia nembo ya upinde maana ilikuwepo kabla ya mashoga na ushoga wao.
KWA mfano Umevaa nguo Ina nembo ya kampuni ya simu,au ya pombe wewe unaelewa nini
 
Mkristo mimi ila tuwe wakweli, katika hili la mavazi wenzetu waislam wameshinda. Uliona wapi binti kavaa ushungi halafu yupo nusu uchi?
uko sahihi sana
sasa hii kuifuta ni mapaka waje wamishenari kutupa somo ndio tutaelewa
 
Back
Top Bottom