King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Super Super Super Rainbow ,umenikumbusha Milima ya kwetu ehee machozi yanitoka ,napatwa na mawazo.
M.A.P Eddy Sheggy.
M.A.P Eddy Sheggy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfuata binti nyuma nyuma ,wahi kituo Cha police Karibu nawe 😅Huyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.
Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini
Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.
Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.
Mungu atunusuru kizazi chetu.
View attachment 2479643
Wewe ni stone kisser mwenzaomkristo mimi ila tuwe wakweli, katika hili la mavazi wenzetu waislam wameshinda. Uliona wapi binti kavaa ushungi halafu yupo nusu uchi?
Wapumbavu ni wengi sana mtaani kuliko hata tunavyodhani. Mtoa amada anaamini atapakuliwa kisa hizo rangi.Ni Ujinga kuamini rangi zinasababisha ushoga. Ni upumbavu tu leo hii watu kuogopa rainbow. Hizi akili mnatoa wapi? Kataeni ushoga matendo upinde wa mvua hawakuleta mashoga.
Subiri hapohapo usitoke nakuja na pichaAcha uongo shule gani inayoruhusu mapaja wazi hyo shule labda ya baba yake.
Ni wewe tu unavyotafsiri, kama hakuna anaeelewa shida ipo wapiHuyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.
Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini
Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.
Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.
Mungu atunusuru kizazi chetu.
View attachment 2479643
Huu mwandiko mbona umekaa kimashaka mashaka mkuu?Rangi za upinde zipo tu kabla hayo mambo hayajawa jahara,kule tandika 90-2000s palikua na shoga mashuhuri hata wabara tukimsoma gazetini,akipenda kuvaa mashati ya vitenge,ikawa watu hawataki mashati ya vitenge ati ya mashoga
Hicho ndicho kiswahili mkuu,kwa sisi tulioanza safari ya elimu mwishoni mwa 1980s tukasoma riwaya za kiswahili,hatuwezi kushangaa huo mwandikoHuu mwandiko mbona umekaa kimashaka mashaka mkuu?
Inanishangaza sana hizi tabia za kipuuzi na kukosa akili.Wapumbavu ni wengi sana mtaani kuliko hata tunavyodhani. Mtoa amada anaamini atapakuliwa kisa hizo rangi.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1] watu na siri zao vyumbani wakitoka nje wamejikaushaWatu wanafira wanawake afu kutwa kulalamikia Wamarekanj
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareew sanaaa.Rangi za upinde zipo tu kabla hayo mambo hayajawa jahara,kule tandika 90-2000s palikua na shoga mashuhuri hata wabara tukimsoma gazetini,akipenda kuvaa mashati ya vitenge,ikawa watu hawataki mashati ya vitenge ati ya mashoga