Afrika nimebaini watu wengi hata wale ambao kwa elimu yao walitakiwa wajue maana ya hizo rangi, bado hawaelewi maana yake.
These are innocent beings, wazungu hawafanyi vitu bila kuwa na taarifa sahihi ila sisi waafrika wengi wetu siyo wadadisi wa mambo.
Wiki iliyopita niliona rafiki yangu ameweka profile picture yake Facebook ikiwa na rangi hizo, nikamuuliza kama anaelewa maana yake au ameweka tu, akanijibu hajui. Nilimpa elimu, hakurudi kuniambia kama ameelewa au la, ila aliifuta picha moja kwa moja.
Hii nimeiona kwa wengi.