AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
As long as she know nothing she is innocent.. haya mambo tuwaachir wazungu sisi waafrika wengi wetu hata hatujui chochote iwe nguo, mtandio n.k mtu kaipenda kanunua tu. Diamond pamoja na kuwa na management na video zake kuongozwa na madirector wakubwa tuliona aliweka bendera ya kupinga kuondolewa kwa utumwa possibly yeye na management yake hawakua wanajua chochote kuhusu iyo benderaHuyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.
Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini
Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.
Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.
Mungu atunusuru kizazi chetu.
View attachment 2479643
Sketi fupi haimaanishi nusu uchi jamaa yangu concept nayojaribu kuiraise nimkristo mimi ila tuwe wakweli, katika hili la mavazi wenzetu waislam wameshinda. Uliona wapi binti kavaa ushungi halafu yupo nusu uchi?
Sketi fupi haimaanishi nusu uchi jamaa yangu concept nayojaribu kuiraise ni
Kuwa hawa watoto wanavaa shungi lakini usitirishaji wa kichwa na.miguu hauendani mapaja wanayaacha wazi sketi zinakuwa hazifuniki vizuri maeneo tamanishi hasa nyumanyuma
Sawa incharge experience zangu nabak nazo mimi na wewe baki na utatasio kweli, binti aliyevaa shungi (ambao wengi ni waislam)hawezi akavaa vibaya kuuacha mwili wazi, never. Wanaoachia mwili huwa Hawavai shungi.
Utajuta dume zima katupia full pink juu mpaka chiniHata mitumba yake imetapakaa kila kona na inanunuliwa kama njugu
Acha uongo shule gani inayoruhusu mapaja wazi hyo shule labda ya baba yake.Wengi wa mabinti wa shule wa kiislamu sijui ushungi ni fasheni haya tuseme umejisitiri kichwani huku nyuma mapaja yako wazi kutokana na sketi fupi hapo wanakuwa wamejisitiri nini?
hao kila mada wanataka kuleta udini tu vichwa vyao vinamatatizoWenye sket fupi uliwaona wapi na wakiwa na shungi
Hata zile rangi za jamiichek ya jamiiforum Huwa sizielewiHuyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.
Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini
Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.
Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.
Mungu atunusuru kizazi chetu.
View attachment 2479643
Umechangia kuhamasishaHuyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.
Pana siku nilimuona mama mtu mzima kajitanda mtandio wenye rangi zao akijongea taratibu mbele kutoa sadaka mbele ya waumini
Niliingia duka moja la dawa nikakuta box la dawa lina rangi zao.
Hawa jamaa wamepania aisee kuhakikisha watu wanapakuliwa speaker.
Mungu atunusuru kizazi chetu.
View attachment 2479643