Wazee wa marangirangi wapo bize dunia itumbukie shimoni

Super Super Super Rainbow ,umenikumbusha Milima ya kwetu ehee machozi yanitoka ,napatwa na mawazo.

M.A.P Eddy Sheggy.
 
Unamfuata binti nyuma nyuma ,wahi kituo Cha police Karibu nawe 😅
 
Kama akili yako haiwazi ushoga huwezi ona ajabu kubeba au kuvaa nguo zenye rangi hiyo...utafikia wakati watt hawatataka kufundishwa rainbow colour darasani...the more you say it the more....
 
Rangi rangi ni vile ru wanatuibia lakini kimsingi katika logo ukiweka rangi zote au rangi nyinginyingi ilitoa maana ya variety, inclusiveness, haubagui rangi wala dini wala jinsia hivyo yaaani.

Hata kampeni ya ushoga waliweka hizo upinde wa mvua kutolana na maana yake. Sema tu vile wamekamata promo hadi kujifanyia kama vile ndio wamejimilikisha wao.

Anyway ndo wameshaiteka basi tuachane nayo ili kuepuka kutoa ujumbe usio sahihi.

Refference: I mean mfano ni wimbo wa Lucky DUbe kusema different colors one people
 
Ni Ujinga kuamini rangi zinasababisha ushoga. Ni upumbavu tu leo hii watu kuogopa rainbow. Hizi akili mnatoa wapi? Kataeni ushoga matendo upinde wa mvua hawakuleta mashoga.
Wapumbavu ni wengi sana mtaani kuliko hata tunavyodhani. Mtoa amada anaamini atapakuliwa kisa hizo rangi.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Wacha uoga. Wenzio alsbabu huko somalia wamepiga marufuku ulaji wa sambusa kisa tu umbo lake la pembetatu linawakilisha ukristo (utatu mtakatifu) kama sio uchizi ni nini. Hizo rangi hata kwenye upinde ulioumbwa na Mnyaaz mungu zipo.
 
Kuna msenge fulani alinipa mwamvuli una rangi hizo, nikawa natamba nao mtaani ila bahati nzuri nikausahau kwenye public transport. Nilikuja kugundua siku za mbele sana maana ya hizo rangi.
 
Ni wewe tu unavyotafsiri, kama hakuna anaeelewa shida ipo wapi
 
Rangi za upinde zipo tu kabla hayo mambo hayajawa jahara,kule tandika 90-2000s palikua na shoga mashuhuri hata wabara tukimsoma gazetini,akipenda kuvaa mashati ya vitenge,ikawa watu hawataki mashati ya vitenge ati ya mashoga
Huu mwandiko mbona umekaa kimashaka mashaka mkuu?
 
Huu mwandiko mbona umekaa kimashaka mashaka mkuu?
Hicho ndicho kiswahili mkuu,kwa sisi tulioanza safari ya elimu mwishoni mwa 1980s tukasoma riwaya za kiswahili,hatuwezi kushangaa huo mwandiko
 
Kwani hizo rangi ndio za ushoga ,, kabla ya hizo rangi ushoga haukuepo,, nachokiona Watanzania tuna matatizo ya akili
 
Rangi za upinde zipo tu kabla hayo mambo hayajawa jahara,kule tandika 90-2000s palikua na shoga mashuhuri hata wabara tukimsoma gazetini,akipenda kuvaa mashati ya vitenge,ikawa watu hawataki mashati ya vitenge ati ya mashoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareew sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…