Wazee wa marangirangi wapo bize dunia itumbukie shimoni

Ni Ujinga kuamini rangi zinasababisha ushoga. Ni upumbavu tu leo hii watu kuogopa rainbow. Hizi akili mnatoa wapi? Kataeni ushoga matendo upinde wa mvua hawakuleta mashoga.
Kwanza wanaelewaaa wabongooo?? Akili zao zinawaza ushoga na usagaji, ndo maana kila kitu kwao ni mapenzi ya jinsia 1 khaaaah
 
Na ukiuona upinde wa mvua huko juu mawinguni panda ukaufute, nyie watu wakati mwingine mnatakiwa mpakwe pilipili machoni na masikioni labda ujinga unaweza kuwaisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mume puliiiiizzzz, mbavu zangu zinaumaaaa.
 
Ahsanteeeeeee sanaaaa wape somo hawa wenzioo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanafira wanawake afu kutwa kulalamikia Wamarekanj
Tena wako proud, kusifia kuwafira wanawake.
Ila wakisikia ushoga wanalipuka km moto wa kifuu.
Unafiki unawasumbuaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hizi rangi zipo miaka na miaka upinde wa mvua. Leo hii watu wanakuwa wapumbavu kila wakiona rangi basi eti ni ushoga. Ushoga hautendwi na rangi unatendwa na watu. Yaani leo mtu aogope rangi kweli? Miafrika mipumbavu sana....
 
Hiyo rangi ina madhara gani kwako? Inahamasisha vipi ushoga!? Mambo mengine huwa naona niujinga tu, tuache kutumia vitu tunavyoishi navyo kisa kuna wapuuzi wachache wamevichagua kuwa utambulisho wao!!!??? Binafsi siwaungi mkono LGBTI ila sioni shida kwa mtu kuvaa au kutumia nembo ya upinde maana ilikuwepo kabla ya mashoga na ushoga wao.
 
KWA mfano Umevaa nguo Ina nembo ya kampuni ya simu,au ya pombe wewe unaelewa nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mume puliiiiizzzz, mbavu zangu zinaumaaaa.
Mkeeeeeee kanikera sana huyo mwehu, πŸ˜‚
Kishapata rainbow syndrome
 
Mkristo mimi ila tuwe wakweli, katika hili la mavazi wenzetu waislam wameshinda. Uliona wapi binti kavaa ushungi halafu yupo nusu uchi?
uko sahihi sana
sasa hii kuifuta ni mapaka waje wamishenari kutupa somo ndio tutaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…