Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Pale unapofungua mabano inatakiwa uzidishe na Ile mbili nje Mana Ni Kama imerahisishwa tu ikatolewa nje mkuu. Sijui Kama unaelewa. Yaani Ile kutolewa nje inabidi uirudishe ndani Mana imebeba namba zote zilizo ndani sema amerahisisha kihesabuhapo karibu tujadiliane kwani kujadilana ni moja ya njia ya kujifunza, ni kitu ambacho wenzetu Wazungu hufanya na hivyo kujiongezea elimu, tofauti kwa sisi Waafrika ni mashindano ya nani anajua zaidi hatimaye siku zote tupo nyuma
Ulisoma hesabu za wapi?
Unaanza mabano.
Ukishafungua mabano jibu sahihi ni moja.
Calculate za Tecno zimemuiga baba yao mchina
Mkuu na wew na akili zako unaona kabisa jibu la 9 ni sahihi wakati ni kubwa kuliko inayogawanya ambayo ni 6 hafu mbna huyo jamaa kuelezea vizuri tu ni basi tu umejaza fuvu......
Ok nitajitie kirefu cha BODMAS na acha na MAGAZIJUTO maana ni sisi tumetohoa usahihi wake upo kwenye neno BODMAS
Hivi kwa akili zako za kawaida 6 ikigawanya hizo namba jibu linakuja 9...hesabu hazina ujanja hapo jibu ni moja hakuna cha kwa bodmas jibu 9
What you guys don't know is that this is ambiguous mathematics questions which can have multiple answer according to your interpretations. This means 1 and 9 can be both right answers, I will explain. .
If you calculate by smartphone calculator 6÷2(2+1)
Then due to basic programming it give result from left to right as
6÷2(3)= 9
3(3)=9
9 is a correct answer to this by applying the above formula. Those who got 9 got is right through explanation.
On other hand, scientific calculator calculate 6÷2(2+1) -
=6÷2(3)
=6÷6
=1
But 1 is correct answer by standard mathematics as this formula should be interpreted as “6 / (2 * (2 + 1))”, so the result is 1.
Hesabu huwa inatoa majibu mazuri kupitia mifano, got this somewhere:
I buy a snack for $2 and a drink $1, and I do this twice a week. How many weeks can I do this with $6?
$6 / 2($2+$1) = 1 (week)
Nafunga Mjadala kama hamjaelewa hapa tena basi:There is a big difference between these expressions Viz, 6÷2(2+1) and 6/[2(2+1)], the first one gives the answer 9 and the second gives 1, therefore those are typical different math, expressions giving different answers.
Nafunga Mjadala kama hamjaelewa hapa tena basi:
Baada ya kufungua mabano inafuata zidisha, namaanisha 2(3) = 2x3 hapo tuko wote? Siku zote ukifungua mabano kinachofuata ni ZIDISHA.
Sasa umekariri MAGAZIJUTO kuwa formula yake siku zote ukitoka mabano unafata gawanya kitu ambacho calculator ya simu imefanya. Ila sasa kwa hesabu au hisabati sio lazima uende gawanya formula inaweza kuwa MAZIGAJUTO narudia MAZIGAJUTO na sio MAGAZIJUTO kwa sababu MULTIPLICATION and DIVIDE are interchangeable. .
Kwa formula ya MAZIGAJUTO jibu ni 1, na ni sahihi kabisa kwa standard mathematics na ndio jibu mama.
Pia kwa formula ya MAGAZIJUTO jibu ni 9, na ni sahihi kabisa haujakosea, uko sahihi. .
Go back to my explanation above post 27 nimefafanua. .
Mokaze Umeeleza vizuri[emoji106]There is a big difference between these expressions Viz, 6÷2(2+1) and 6/[2(2+1)], the first one gives the answer 9 and the second gives 1, therefore those are typical different math, expressions giving different answers.