Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Bro complicator hawezi kukuelewa [emoji23][emoji23]Umeelewa kweli na ufafanuzi niliotoa hapo chini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro complicator hawezi kukuelewa [emoji23][emoji23]Umeelewa kweli na ufafanuzi niliotoa hapo chini?
Dah Bro wew ni teacher Big up sana asee. Wasipoelewa hapo bas tenaMagazijuto
6÷2(2+1)
Ma
2+1=3
Ga
6÷2(3)
Zi
2x3 ndo ameondoka mabano
Ju
Hakuna
To
Hakuna
Ko 6÷6=1
Sasa mkuu mbona umerudi tena kwenye magazijuto[emoji23][emoji23]
Tutapataje hili swali ama tuandike majibu yote kwenye pepa?What you guys don't know is that this is ambiguous mathematics questions which can have multiple answer according to your interpretations. This means 1 and 9 can be both right answers, I will explain. .
If you calculate by smartphone calculator 6÷2(2+1)
Then due to basic programming it give result from left to right as
6÷2(3)= 9
3(3)=9
9 is a correct answer to this by applying the above formula. Those who got 9 got it right through explanation.
On other hand, scientific calculator calculate 6÷2(2+1) -
=6÷2(3)
=6÷6
=1
But 1 is correct answer by standard mathematics as this formula should be interpreted as “6 / (2 * (2 + 1))”, so the result is 1.
Hesabu huwa inatoa majibu mazuri kupitia mifano, got this somewhere:
I buy a snack for $2 and a drink $1, and I do this twice a week. How many weeks can I do this with $6?
$6 / 2($2+$1) = 1 (week)
Nilimjibu jamaa kiona 2(3) maana yake ni 2 x 3 = 6.Tutapataje hili swali ama tuandike majibu yote kwenye pepa?
mkuu manake bila kusema ivyo hatuwez elewana na waungwanaHahaha, Mkuu mikwara mingi sana.
Na heaabu haina wepesi huo mnaoutaka nyinyi.. Ukioneshwa pie d²/2 ilipotokea unafunga daftari 😂🤣Braza nini hiki unatuletea [emoji23][emoji23] acha kukompliketisha mambo mkuu hesabu siyo ngumu kiasi hicho [emoji23]
wacha waje wazee wa MAGAZIJUTO watakupatia tu.Kuna scientific calculator na Calculator ya simu.
Zote zimepewa hesabu inayofanana lakini majibu yako tofauti!
View attachment 2337657
Nilimjibu jamaa kiona 2(3) maana yake ni 2 x 3 = 6.
Ukifungua mabano unazidisha siku zote, Ukiona unafungua mabano inayofuata ni kuzidisha kilicho kwenye mabano.
6÷2(3)= 6 ÷ 2 x 3
sasa hapo anatakiwa atumie BOMDAS instead of BODMAS. Nikamjibu kuwa Division and Multiplication are interchangeable. Akauliza nimeandika kitu gani kwa sababu ya ubishi tu. Hili swali kutokana lilivyo unatumia MAZIGAJUTO na sio MAGAZIJUTO.
View attachment 2340664
Kwenye paper majibu yote yatakuwa sawa kutokana na watu wanajibu kutokana na uelewa. Nikamwambia hesabu yeyote unatakiwa uje kwenye practical ujue which is the best answer.
Sasa ukiapapply swali:
Nimenunua andazi kwa Sh. 2 na Soda kwa Sh. 1, na nafanya hivyo mara mbili (2) kwa juma, Je naweza nunua soda na andazi kwa juma ngapi nikiwa na Sh 6?
Sh. 6 / 2 (Sh 2 + Sh. 1) = 1 (Juma)
Hao wanaosema 9 ni jibu sahihi zaidi wajue haliwezi kuwa kwenye practical, kama wanabisha watuwekeee kwenye practicality na mfano tuone waache ubishi. Scientific calculator iko vizuri zaidi as it it gives the answer according to the standard of mathematics. Ndo maana nikawajibu hayo majibu ni kutokana na ones own interpretetion which will make all the answers true. Ila the most correct answer is 1. .
Mkuu, wewe unapotosha watu.
Mfano ulioutoa na jinsi ulivyouandika kimahesabu (mathematical expression) sio sawa, huo.mfano wako ilitakiwa uandikwe hivi:-
6÷[2(sh2+sh1)] au 6/[2(sh2+sh1)] hapo ndipo unapata jibu la 1 juma na sio iandikwe 6÷2(sh2+sh1) halafu jibu liwe 1 juma !!!!, hapo sio sawa na haikubaliani na universally accepted mnemonic BODMAS.
Ni kweli kwamba katika case fulani za mathematics unaweza ku interchange operation za division na multiplication hasa zikiwepo operations hizo hizo mbili pekee na hii hali ipo katika operantions za kujumlisha na kutoa pia na mtu ukapata jibu sawa yaani unaweza kuanza na operation yoyote na ukapata jibu lilelile lakini sio kwa case ZOTE hasa zile zenye mchanyiko wa operations mfano ni hiyo expression 6÷2(2+1), na ni kutokana na hali hiyo ya mkanganyiko ndio wanamahesabu wakabuni huo mnemonic wa BODMAS (PEMDMAS) ili kuwepo na lugha na tafsiri moja ya kimahesabu kimataifa.
Kwa mantiki hiyo expression 6÷2(2+1)=9 ni jibu sahihi kimataifa na 6÷[2(2+1)]=1 nalo ni jibu sahihi kimataifa hivyo swali lako la andazi na soda kimahesabu na kimataifa linatakiwa liandikwe hivi:-
6/[2(2+1)]=1 na sio vinginevyo.
View attachment 2341085
We jamaa wewe. ndio nini sasa?Hapa hatupimani nani anajua zaidi bali ni suala la kuelimishana tu kwani hakuna anayejua kika kitu isipokuwa Mungu tu.
Haya hebu tuanze darasa:-
6÷2(2+1), hii ni sawa na kuandika, 6÷2×(2+1), kwa sheria ya MAGAZIJUTO (forget about BODMAS), lazima tuanze na expression iliyomo ndani ya mabano "MA" yaani (2+1) ambapo unapata 3, hivyo expression nzima inakuwa hivi; 6÷2×3; katika expression hiyo kuna matendo mawili; tendo la kugawanya na kuzidisha, kwa sherai ya MAGAZIJUTO ni LAZIMA uanze na kugawanya ndipo umalizie na kuzidisha kwani MA= Mabano, GA=Gawanya, ZI=Zidisha, JU=Jumlisha, TO=Toa, kwahiyo 6÷2×3 ni sawa na (6÷2)×3,
Yaani, 6÷2×3=(6÷2)×3= 3×3=9.
Kama unayohoja hapo karibu tujadiliane kwani kujadilana ni moja ya njia ya kujifunza, ni kitu ambacho wenzetu Wazungu hufanya na hivyo kujiongezea elimu, tofauti kwa sisi Waafrika ni mashindano ya nani anajua zaidi hatimaye siku zote tupo nyuma ya Wazungu.
Umefungua vipi mabano mkuu?Hebu na sisi tujaribu:
6÷2(2+1)= 6÷2×3, kulingana na sheria ya BODMAS, yaani MAGAZIJUTO lazima uanze na 6÷2 na ndipo jibu lake uzidishe kwa 3; yaani (6÷2)×3=3×3=9.
sisi wazee wa pure mathematics tumesema jibu ni 9 watu wa hkl tena div 0 wanakuja na majibu yao ya kiwaki tungeleta hesabu za kuassigns numbers to functions in a way that describes displacement, area, volume, and other concepts that arise by combining infinitesimal data ingekuwaje ?..Yan wanatutangazia indirectly kwamba yalitaga hesabu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kweli vilaza ni wengi Sana. Hesabu rahisi hivyo halafu kuna mtu. anakuambia jibu ni 1. Jibu ni 9 nyinyi vilaza.
Hebu na sisi tujaribu:
6÷2(2+1)= 6÷2×3, kulingana na sheria ya BODMAS, yaani MAGAZIJUTO lazima uanze na 6÷2 na ndipo jibu lake uzidishe kwa 3; yaani (6÷2)×3=3×3=9.
mkuu umesoma hesabu ?Aisee shuleni mlienda kusomea ujinga?