Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
DuuuuhScientific calculator mzee iko sawa kwa maana kikokotoo cha simu hakijafungua mabano kwanza. Bali kikokotoo cha kisayansi kimezingatia MAGAZIJUTO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuuhScientific calculator mzee iko sawa kwa maana kikokotoo cha simu hakijafungua mabano kwanza. Bali kikokotoo cha kisayansi kimezingatia MAGAZIJUTO.
mkuu umesoma hesabu ?
mkuu ndio jibu ni moja ? acha kupotosha umma mkuu, tafuta mkali wenu wa hesabu muulize au iandike kwenye karatasi uifanye uone mkuu hesabu haifanywi kwa macho 🤣Hadi chuo.
Mangwin wanazingua, eti jibu ni 1 dah hakika inashangaza.sisi wazee wa pure mathematics tumesema jibu ni 9 watu wa hkl tena div 0 wanakuja na majibu yao ya kiwaki tungeleta hesabu za kuassigns numbers to functions in a way that describes displacement, area, volume, and other concepts that arise by combining infinitesimal data ingekuwaje ?..Yan wanatutangazia indirectly kwamba yalitaga hesabu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sawa Bro..sisi wazee wa pure mathematics tumesema jibu ni 9 watu wa hkl tena div 0 wanakuja na majibu yao ya kiwaki tungeleta hesabu za kuassigns numbers to functions in a way that describes displacement, area, volume, and other concepts that arise by combining infinitesimal data ingekuwaje ?..Yan wanatutangazia indirectly kwamba yalitaga hesabu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
daaah tozo ni kutoa tu na inatumalizaSawa Bro..
Tumia hizo hesabu kulipa tozo kamili...
yan bado nashangaa mkuu aiseeMangwin wanazingua, eti jibu ni 1 dah hakika inashangaza.
Sioni tofauti ya MAGAZIJUTO na BODMASMAGAZIJUTO (forget about BODMAS)
madam hapana jibu ni 9 hesabu haina majibu mawili na ndio maana ni rahis kupata mia na ndio maana ma TO wengi wanatokaga PCM sababu haya msomo hayana janja janja majibu yake ni universal na vitu kama hivyoSawa mmepatia wote
Aisee shuleni mlienda kusomea ujinga?
Sioni tofauti ya MAGAZIJUTO na BODMAS
MA = BO
GA = D
ZI = M
JU = A
TO = S
Wewe umeeleza vizuri kwa ufupi na kwa usahihi.VILAZA NI WENGI KWENYE HII NCHI, HESABU NI JANGA LA TAIFA
6/2(2+1)
6/2(3)
Ukifingua mabano inakua
6/6 = 1
Hawa fedhuli wanaosema ukifanya kilicho ndani ya mabano unakua umefungua mabano walisoma hesabu shule za Kata.
VILAZA NI WENGI KWENYE HII NCHI, HESABU NI JANGA LA TAIFA
6/2(2+1)
6/2(3)
Ukifingua mabano inakua
6/6 = 1
Hawa fedhuli wanaosema ukifanya kilicho ndani ya mabano unakua umefungua mabano walisoma hesabu shule za Kata.
Hadi chuo.