Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?


View: https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfmsMimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu.
Kweli muda unakimbia sana.
Mshana Jr
Enzi hizo kulikuwa na vipindi redioni ''MTU NI AFYA''
wakiimba wimbo'' kuleni chakula bora,mboga samaki maziwa...''
Haya mambo ndo tulitakiwa kuwauliza akina na mzee wetu wassirra watusimulie
siyo kila siku kushindana na vijana ambao mapafu yao bado yana uwezo wa kuhutubia masaa matatu non stop.
 
💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…