Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

"Kumbuka pia huu mkataba ulifutwa na Magufuri wakati wa utawala wake na hakutaka kusikia huo ujinga kamwe." Lala salama Magufuli
 
Ile Rasimu !!
 
Kippi hapati nafasi kutokana na ccm kumuona baba yake kama msaliti wao, ndio maana hata Makonda alitumwa kumpiga kibao na hakuna alicho fanywa.

Kuhusu kikao mfano kama kikao ya Berlin vile na Afrika yetu, au vikao vya siku ya uchaguzi jinsi ya kuiba kura ndio imefanya kuna wazee wa chama wanataka watoto wao wapate nafasi kwa kupitia majina ya kiukoo.
 
Uko sahihi.
 
Mkuu,

Kwanza kabisa mimi sitetei nepotism. Naipinga sana. Hivyo sitaki kuonekana naitetea. Napanua mazungumzo tu.

Unafikiri Nyerere asingekuwa mtoto wa Chifu angekuwa rais wa Tanzania?
 
Yani nilivyokuwa naandika tu nikajua hili litakuja.

Tumeambiwa teuzi za watoto hutumika kunyamazisha wazazi, sasa kwa nini hawakufanya hivyo hapo?
Huenda jamaa haambiliki !
Anasimama kwenye Ukweli !
Hukuona hata kwenye ile picha huwa inawekwa sana humu Jf ?
Makonda na wenzie wakimburuza Mzee kumtoa ndani ya Ukumbi !
Inaonyesha Mheshimiwa sio mwenzao sana kwa wanavyo mchukulia !
 
Mkuu,

Kwanza kabisa mimi sitetei nepotism. Naipinga sana. Hivyo sitaki kuonekana naitetea. Napanua mazungumzo tu.

Unafikiri Nyerere asingekuwa mtoto wa Chifu angekuwa rais wa Tanzania?
Una maana viongozi huwa wanazaa viongozi ??!
Labda Afrika na UARABUNI kwenye Ufalme !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…