NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Aiseh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo lazima viongozi wawe wanazaa viongozi.Una maana viongozi huwa wanazaa viongozi ??!
Labda Afrika na UARABUNI kwenye Ufalme !
Hata kama watakuwepo wanaofaa kuongoza zaidi kuliko hao watoto wao lakini priority ya kwanza watapewa watoto pendwa !Siyo lazima viongozi wawe wanazaa viongozi.
Lakini, tukija kutafuta watu wenye usomi, hususannhuu wa kupima darasani, wenye kujuana na watu, wenye kuandaliwa vizuri kushika uongozi, hatutazunguka humo humo kwenye watoto wa viongozi na ndugu zao?
Nilipokusoma hapo awali nikadhani ni andiko la Lucas Muoshambwa.Yani watu walikaa chini wakakubaliana hivyo kabisa? Wewe umejuaje hilo?
Sikatai kwamba inaonekana kuna uoendeleo, watoto wa watu fulani wanaonekana kupata nafasi za uongozi kirahisi, tunapata picha kwamba majina yanawasaidia. Hilo kulibishia ni vigumu.
Lakini, unatuambia kuna kikao kilikaa na kupanga hiki kabisa?
Umejuaje? Unaweza vipi kuthibitisha haya maneno ni ya kweli na si chumvi za conspiracy theories tu?
Mbona watoto wengine kama kina Kippi Warioba kila wakigombea wanakatwa tu, kaka Kippi kagombea u Meya Dar kashindwa, kagombea ubunge Kawe kashindwa.
Juu ya hii mi nimejiridhisha zaidi, mfano nenda BOT, TRA, Balozini, n.k. Kinachoumiza zaidi watoto hawa wa viongozi hawafanyi kazi ni mizigo kwa Taasisi husika hata viongozi wa Taasisi husika hawawezi kuwachukulia hatua zozote kutokana na nafasi za wazazi wao, anza kwa kufuatilia walipo pale BOT utaamini ninachokisema hapa!.Kwa maana nyingins inayo eleweka kirahisi ni kwamba Ccm ni chama cha kifamilia zaidi.
Kama mzazi wako haja wahi kuwa kiongozi kwenye hii nchi, basi sahau teuzi. Hiyo ndiyo CCM. Na bado kuna watu wana iligia makofi
Hii si kweli mara zote. Ingekuwa kweli hivyo, Magufuli asingepenya na kumshinda January Makamba.Hata kama watakuwepo wanaofaa kuongoza zaidi kuliko hao watoto wao lakini priority ya kwanza watapewa watoto pendwa !
Juu ya hii mi nimejiridhisha zaidi, mfano nenda BOT, TRA, Balozini, n.k. Kinachoumiza zaidi watoto hawa wa viongozi hawafanyi kazi ni mizigo kwa Taasisi husika hata viongozi wa Taasisi husika hawawezi kuwachukulia hatua zozote kutokana na nafasi za wazazi wao, anza kwa kufuatilia walipo pale BOT utaamini ninachokisema hapa!.Kwa maana nyingins inayo eleweka kirahisi ni kwamba Ccm ni chama cha kifamilia zaidi.
Kama mzazi wako haja wahi kuwa kiongozi kwenye hii nchi, basi sahau teuzi. Hiyo ndiyo CCM. Na bado kuna watu wana iligia makofi
Hiyo hoja zero hujaionesha iko wapi.Nilipokusoma hapo awali nikadhani ni andiko la Lucas Muoshambwa.
Maneno meeengiii hoja zero
Kwa Magufuli ilikuwa kesi nyingine kabisaHii si kweli mara zote. Ingekuwa kweli hivyo, Magufuli asingepenya na kumshinda January Makamba.
Magufuli hakuwa na mzazi kiongozi maarufu. January baba yake kiongozi maarufu.
Mungu awabariki sanaNawaheshimu sana Majenerali wa kijeshi kule West Africa,wanafanya kazi nzuri!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Bado sijajibiwa kama huo mkataba wa Mwitongo ni mkataba halisi watu walikaa kikao kabisa kweli, na mtoa mada alijuaje hili?Kwa Magufuli ilikuwa kesi nyingine kabisa
Karata ya mwisho ilikuwa ni Magufuli au Chama kinakufa !!
Watanzania wanaoshabikia utawawala wa kijeshi, wengi wao hawaelewi utawalanwa kijeshi ni kitu gani.Nawaheshimu sana Majenerali wa kijeshi kule West Africa,wanafanya kazi nzuri!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hata mimi siamini kama Mzee Mkapa angekubali kufanya hiyo kitu !Bado sijajibiwa kama huo mkataba wa Mwitongo ni mkataba halisi watu walikaa kikao kabisa kweli, na mtoa mada alijuaje hili?
Au kama ni hadithi za kuongezea chumvi tu kunogesha habari?
Haya ni mambo mawili tofauti.
Watu kupendelewa kwa spirit ya undugunaizesheni inayochipukia organically tu bila kikao maalum ni tofauti sana na watu kupendelewa kwa kufuatia maamuzi ya kikao maalum yaliyopanga hujuma hii.
Cc BLACK MOVEMENT
Sema wewe kaka mkubwa uliyeshikilia katikati.Mimi sijausikia huo mkataba. Nipo hapa,nimepata hifafhi katika nyumba ya rafiki.
Siamini kwamba upo mkataba wowote wa aina hiyo.
Mkapa angetaka kupendelea watoto wake kwenye uongozi, mimi ningekuwa kiongozi sasa hivi.Hata mimi siamini kama Mzee Mkapa angekubali kufanya hiyo kitu !
Labda mwingine sio Mkapa
Haswaa...maana hili jeshi letu tunalivyojua hamna kitu kama hicho.Labda la Ufilipino !
Mzee Mkapa alikuwa na elements kidogo za Nyerereism !Mkapa angetaka kupendelea watoto wake kwenye uongozi, mimi ningekuwa kiongozi sasa hivi.