Wala jamaa hakuwa mbayaHuyu jamaa ana makosa yake lakini alikuwa na mazuri mengi sana kwa Watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala jamaa hakuwa mbayaHuyu jamaa ana makosa yake lakini alikuwa na mazuri mengi sana kwa Watanzania.
Hao wataendelea kuwa washika pembe au wakiwa na bahati wanaweza pewa unyapara kwenye mashamba ya akina RizimokoRizimoko
Nimempa nafasi mtoa mada kuthibitisha madai kwamba kuna kikao kilifanyika, amekimbia bila hata kuashiria kwamba kalipata swali.HIyo ni conspiracy theory, haina ukweli wowote
Mkataba Mwitongo ni mkataba ulio asisiwa enzi za Mkapa na ukiwa na lengo la kuhakikisha watoto wote wa watawala wanapewa kipaumbele au upendeleo katika kila nyanja, ikiwemo Siasa,uongozi au hata Uchumi.
Inakuwaje waislamu walipoanza kulalamika tokea miaka ya 70 kuwa kuna upendeleo kwenye elimu wanaonekana wanalalama, oooh mara wanaendekeza madras, sijui hawana akili ni vilazaSikatai kwamba inaonekana kuna upendeleo, watoto wa watu fulani wanaonekana kupata nafasi za uongozi kirahisi, tunapata picha kwamba majina yanawasaidia. Hilo kulibishia ni vigumu.
Nani analalama mkuu, nani anapambana?Inakuwaje waislamu walipoanza kulalamika tokea miaka ya 70 kuwa kuna upendeleo kwenye elimu wanaonekana wanalalama, oooh mara wanaendekeza madras, sijui hawana akili ni vilaza
Sasa pambaneni na hali zenu
Tuwekee tuusome, isiwe umeongeza chumvi au hapo kabisa.Mkataba Mwitongo ni mkataba ulio asisiwa enzi za Mkapa na ukiwa na lengo la kuhakikisha watoto wote wa watawala wanapewa kipaumbele au upendeleo katika kila nyanja, ikiwemo Siasa,uongozi au hata Uchumi.
Kamati ya huu Mkataba kwa sasa inaongozwa na Mzee Mizengo Pinda, na pia inawatu kama Yusugu Makamba, Msuya,Piusi Msekwa, Anna Makinda, na washauri kama Mstafu Kikwete, na Mstafu Mwinyi, na pia wastafu wa Zanzibar.
Hii kamati ndio huwa inapokea majina ya watoto wa viongozi wanao hitaji nafasi mbali mbali za juu, na wanacho fanya ni kupitia hayo majina na kumpatia Raisi ili sasa awaangalie kwenye teuzi.Pia endapo kuna mtoto anataka examption za Kodi, Upendeleo kwenye maswala tenda na maswala mengine.
Emanueli Nchimbi wakati mkataba unaasisiwa alikuwa UVCCM, na inaaminika alitoa mchango mkubwa sana wa mawazo na ya jinsi huu mkataba utatekelezwa na ndio maana wazee wakaona ni lazima Mama amrudishe Emanul kwenye nafasi za juu either ndani ya Chama au Serikalin yaani awe active katika siasa na sio kuwa Balozi.
Kumbuka pia huu mkataba ulifutwa na Magufuri wakati wa utawala wake na hakutaka kusikia huo ujinga kamwe.
Hii kamati pia ina kazi ya kupokea malalamilo kutoka kwa watoto wa wastafu wote, endapo wanakumbana na Changamoto zozote, kunyanyaswa labda na TRA, na mamlka zingine au kupewa nafasi ambazo hazina hadhi, Watoto wengi hawataki ukuu wa wilaya wala Mkoa,wanataka sana Ukurugenzi au nafasi zingine za hadhi yao.
Kilicho fanya Magufuri afute huu mkataba ni kitendo cha watoto wengi kuwa wanapitisha mizigo free Bandarini, hilo Magufuri alilipinga sana na Ridhiwani ndio mtoto wa kwanza kukumbana na kizingiti hichi wakati wa Magufuri mara baada kuwa alikuwa mtoto wa wa Mstafu anaye pitisha mizigo mingi sana Bandarini free.
Kama ni mfuatiliaji wa mikutano ya Halimashauri kuu za CCM wakati wa Magufuri,kuna siku Yusufu makamba aliwahi tamka ndani ya mkutano kwamba Raisi wetu sio mtu wa vimemo hivyo msimsumbue na vimemo vya teuzi, ndio kipindi hicho Magu alikuwa ametoka kupiga pini huo mkataba Mwitongo.
Kumbuka awamu ya mama huu mkataba Mwitongo uko implemented kwa 100%
Was this necessary 🙃I got cribs from Oysterbay New York to Oysterbay Dar es salaam.
"Sikatai kwamba inaonekana kuna upendeleo, watoto wa watu fulani wanaonekana kupata nafasi za uongozi kirahisi"Wabongo wengi hamjui tofauti ya hoja za kifalsafa na kulalamika, kila kitu mnaki personalize, hamjui abstract thinking.
Naam si ajabu, hushangai Bagamoyo yuko mtoto wa shangazi, chalinze mtoto wa mjomba, ulikuwepo na mtu na mkewe bungeni, mume Spika, mke mbunge viti maalum, au ile ya mama na mwanae bungeni hahahaKwa CCM hii inaweza kuwa ni habari ya kweli.
Was this necessary 🙃
"Sikatai kwamba inaonekana kuna upendeleo, watoto wa watu fulani wanaonekana kupata nafasi za uongozi kirahisi"
Hii nukuu, is more of hypothetical thinking than abstract
Umewahi kujiuliza yale manati wamenunua kwa sh ngapiNawaheshimu sana Majenerali wa kijeshi kule West Africa,wanafanya kazi nzuri!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Nyerere na Kikwete ni watoto wa machifu wasaliti waliokuwa wapo upande wa wakoloni sio kwa wananchi.Mkuu,
Kwanza kabisa mimi sitetei nepotism. Naipinga sana. Hivyo sitaki kuonekana naitetea. Napanua mazungumzo tu.
Unafikiri Nyerere asingekuwa mtoto wa Chifu angekuwa rais wa Tanzania?
Hujajibu swali nililouliza, na ulilojibu sijauliza.Nyerere na Kikwete ni watoto wa machifu wasaliti waliokuwa wapo upande wa wakoloni sio kwa wananchi.
Ndio maana nikasema wazee wao machifu wasaliti sababu ya Nyerere kuwa Rais ameipata kutokana na usaliti wa mzee wake.Hujajibu swali nililouliza, na ulilojibu sijauliza.
Mkuu ile ilikuwa special case .lowasa alikuwa na nguvu za ushawishi kuliko kikwete.kikwete akatumia uenyekiti kumkata jina.kuonesha ana nguvu wajumbe kama sophia simba na nchimbi walitoka nje ya kikao .wqjumbe wakawa wanaimba wanaimani na lowasa.Hii si kweli mara zote. Ingekuwa kweli hivyo, Magufuli asingepenya na kumshinda January Makamba.
Magufuli hakuwa na mzazi kiongozi maarufu. January baba yake kiongozi maarufu.