Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

Mkuu ile ilikuwa special case .lowasa alikuwa na nguvu za ushawishi kuliko kikwete.kikwete akatumia uenyekiti kumkata jina.kuonesha ana nguvu wajumbe kama sophia simba na nchimbi walitoka nje ya kikao .wqjumbe wakawa wanaimba wanaimani na lowasa.
Lowasa alipotoka walijua amezira hatarudi .kumbe mmafia alienda toa maagizo watu wake wampigie kura magu akijua kikwete alimuandaa amina na membe .
Magu na kikwete walikuwa haziivi toka serikalini ila alikuwa anamuacha kwa kukingiwa kifua na mkapa .
Na ndo maana lowasa mpaka leo aliondoka mtoto wa mjini kikao kile maana akarudi ccm na kuwa mshikaji na magu akawa anamsagia kunguni mbaya kikwete .hata mashart ya kurudi alimkaa ridhwan ndo arudi.kikwete alikoma hasa
Wewe unakubali kuna kikao maalum kilikaa na kuazimia kupendelea watoto wa viongozi?

Au upendeleo huu umejitokeza kiutamaduni tu bila ya kikao rasmi?
 
Who decides what is necessary? What if I want to go far and beyond the merely necessary, isn't that my right?

Nakwambia hivi, wewe usiyejua abstract thinking, ukisikia mtu anapinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, automatically unafikiria huyo ni mtu mweusi anapinga kwa sababu kaumizwa yeye. Analalamika.

Huwezi kufikiri kwamba inawezekana huyo si mtu mweusi, ni mtu tu ambaye hapendi ubaguzi wa rangi kwa sababu za kifalsafa.

Yani huwezi kufikiri kwamba kuna watu hawapendi unfairness even in the abstract.

Ukisikia mtu anapinga upendeleo, una assume tu kwamba huyu kaonewa.Analia baada ya kuonewa.

You can't think in the abstract.

Umasikini wa akili huo.
👍👏 🆒
 
Wewe unakubali kuna kikao maalum kilikaa na kuazimia kupendelea watoto wa viongozi?

Au upendeleo huu umejitokeza kiutamaduni tu bila ya kikao rasmi?
Kuwa maalumu siamini.ila najua lipo cartel la kiutawala kwa bongo ndo linajengwa kwa speed sana hasa kipindi cha mama nadhani walionja uchungu wakumleta mtu wa from no where magu

Kama kenya yaan hutoboi kama
haupo kwa cartel za siasa au biashara
 
Yani watu walikaa chini wakakubaliana hivyo kabisa? Wewe umejuaje hilo?

Sikatai kwamba inaonekana kuna upendeleo, watoto wa watu fulani wanaonekana kupata nafasi za uongozi kirahisi, tunapata picha kwamba majina yanawasaidia. Hilo kulibishia ni vigumu.

Lakini, unatuambia kuna kikao kilikaa na kupanga hili kabisa?

Umejuaje? Unaweza vipi kuthibitisha haya maneno ni ya kweli na si chumvi za conspiracy theories tu?

Mbona watoto wengine kama kina Kippi Warioba kila wakigombea wanakatwa tu, kaka Kippi kagombea u Meya Dar kashindwa, kagombea ubunge Kawe kashindwa.
Kipi hivi sasa ni Kippi ni mkuu wa Wilaya ya Moshi
 
Yawezekana yeye ni mmojawapo na hiyo dhuruma haipendi ndio maana kaamua kusema au kuna afsa kipenyo kampa hizo taarifa au Kippi warioba ndiye kampa hizo za ndani.
 
"Kumbuka pia huu mkataba ulifutwa na Magufuri wakati wa utawala wake na hakutaka kusikia huo ujinga kamwe." Lala salama Magufuli
Na walishajiwekea utaratibu wa nafasi za benki kuu, TRA,maafsa kwenye balozi nchi za nje hauwezi kuona huko mtu wa kawaida lazma awe mtoto wa flan bin flan, JPM alipoingia akarudisha wote nchini akapeleka wengine watoto wa maskini ambao hawakuwazia kama ipo siku watafanya kazi kwenye ubalozi nchi za nje.
 
Hii kamati ndio huwa inapokea majina ya watoto wa viongozi wanao hitaji nafasi mbali mbali za juu, na wanacho fanya ni kupitia hayo majina na kumpatia Raisi ili sasa awaangalie kwenye teuzi.Pia endapo kuna mtoto anataka examption za Kodi, Upendeleo kwenye maswala tenda na maswala mengine.
Huo Mkataba ni Wa hovyo sana kwa Tanzania
 
J
Na walishajiwekea utaratibu wa nafasi za benki kuu, TRA,maafsa kwenye balozi nchi za nje hauwezi kuona huko mtu wa kawaida lazma awe mtoto wa flan bin flan, JPM alipoingia akarudisha wote nchini akapeleka wengine watoto wa maskini ambao hawakuwazia kama ipo siku watafanya kazi kwenye ubalozi nchi za nje.
Jpm kwenye hili hana alichofanya badala ya kuendeleza tu.

Waliopo sasahivi ni crew yake yoote aliyokuwa nayo by 90%
 
Yani watu walikaa chini wakakubaliana hivyo kabisa? Wewe umejuaje hilo?

Sikatai kwamba inaonekana kuna upendeleo, watoto wa watu fulani wanaonekana kupata nafasi za uongozi kirahisi, tunapata picha kwamba majina yanawasaidia. Hilo kulibishia ni vigumu.

Lakini, unatuambia kuna kikao kilikaa na kupanga hili kabisa?

Umejuaje? Unaweza vipi kuthibitisha haya maneno ni ya kweli na si chumvi za conspiracy theories tu?

Mbona watoto wengine kama kina Kippi Warioba kila wakigombea wanakatwa tu, kaka Kippi kagombea u Meya Dar kashindwa, kagombea ubunge Kawe kashindwa.
Bwana Kiranga. Mimi mwenyewe sitaki kuamini hivyo.

Lakini kwa jinsi mambi yalivyo na yanavyokwenda kuhusiana na uongozi na nyazifa ndani ya Nchi hii ni rahisi kuamini kuwa huenda kuna Mkataba/ a treaty ambayo inafatwa hata kama haina jina la Mwitongo.
 
Tatizo ukianza habari za kuamini unaweza kuamini chochote.

Nimemuomba mtoa mada athibitishe na kutuambia kapata vipi hizi habari, hajajibu.
 
Tatizo ukianza habari za kuamini unaweza kuamini chochote.

Nimemuomba mtoa mada athibitishe na kutuambia kapata vipi hizi habari, hajajibu.
Ofcourse trends zinaonekana kuna kitu sio bure😆😆.

Mimi naamini haupo Huo Mkataba ila.....
 
Haiwezekani kuondoa maumivu yenu huko Chadomo.

Ukifahamu kwamba Kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake huwezi pata shida.

Ukifahamu kwamba riziki haitafutwi Kwa kulazimisha huwezi pata shida.

Ndio maana Leo hii Samia ni Rais na kina Lowasa,Lisu nk hawakuwahi kupata Kwa sababu sio riziki Yao ,hailazimishwi.

So wewe endelea kujifariji labda itapunguza maumivu Yako.Kazi iendelee
Ndani ya CCM uongozi ni koneksheni na sio kudra au bahati, Kuna watu lazima wawe viongoz, au wateuliwe ndani ya serikali sisi Wana CCM wa jamii forum na kwingineko tutapata teuzi baada ya jitihada zetu za kujipendekeza kuonekanai Kwa kusifia Sana au Kwa kuwaponda wapinzani.
 
Watoto wa Nyerere, Warioba, Msuya, Dr Salim, Lowassa, Sumaye, Sokoine, Malecela na watoto wa Magufuli mwenyewe huu mkataba unawahusu au ni kakikundi furani pekee?
Kakikundi
Kwa nini ilikuwa chama kife ikiwa raisi asingekuwa Magufuli?
Inasemekana Kikwete alikuwa ana jina la mtu wake aliyetaka apitishwe kuwa mgombea URAIS lakini wajumbe wa mkutano mkuu walikuwa wanamtaka Lowassa !
Umeusahau wimbo “ Tuna imani na Lowassa “
Kwa ufupi iko hivyo ikabidi Mkapa aingilie mchakato ndipo Jina la Magufuli likainuliwa juu na wajumbe wakalikubali japo kwa shingo upande !
Wajumbe walimtaka Lowassa !
Kikwete alimtaka Membe !
 
Ndani ya CCM uongozi ni koneksheni na sio kudra au bahati, Kuna watu lazima wawe viongoz, au wateuliwe ndani ya serikali sisi Wana CCM wa jamii forum na kwingineko tutapata teuzi baada ya jitihada zetu za kujipendekeza kuonekanai Kwa kusifia Sana au Kwa kuwaponda wapinzani.
Na zaidi sana tunaweza kujitahidi kusifia sana na kuwaponda sana wapinzani na bado tukatupwa kwenye dustbin !
Chama kina wenyewe Wanasemaga !
 
Ndani ya CCM uongozi ni koneksheni na sio kudra au bahati, Kuna watu lazima wawe viongoz, au wateuliwe ndani ya serikali sisi Wana CCM wa jamii forum na kwingineko tutapata teuzi baada ya jitihada zetu za kujipendekeza kuonekanai Kwa kusifia Sana au Kwa kuwaponda wapinzani.
Sawa kwani lazima Kila mtu awe Kiongozi? Kwani Dewji ana Mpango wa kuwa Kiongozi?

Wengine wacheze kwenye Uongozi wengine watatunza kibubu.
 
Kakikundi

Inasemekana Kikwete alikuwa ana jina la mtu wake aliyetaka apitishwe kuwa mgombea URAIS lakini wajumbe wa mkutano mkuu walikuwa wanamtaka Lowassa !
Umeusahau wimbo “ Tuna imani na Lowassa “
Kwa ufupi iko hivyo ikabidi Mkapa aingilie mchakato ndipo Jina la Magufuli likainuliwa juu na wajumbe wakalikubali japo kwa shingo upande !
Wajumbe walimtaka Lowassa !
Kikwete alimtaka Membe !
Umeelewa mkaba unaojadiliwa hapa ?
Unazungumzia uchaguzi wa mwaka 2015 mleta huu uzi unazungumzia maslahi ya watoto wa viongozi,huoni tofauti ?
 
Mkataba Mwitongo ni mkataba ulio asisiwa enzi za Mkapa na ukiwa na lengo la kuhakikisha watoto wote wa watawala wanapewa kipaumbele au upendeleo katika kila nyanja, ikiwemo Siasa,uongozi au hata Uchumi.

Kamati ya huu Mkataba kwa sasa inaongozwa na Mzee Mizengo Pinda, na pia inawatu kama Yusugu Makamba, Msuya,Piusi Msekwa, Anna Makinda, na washauri kama Mstafu Kikwete, na Mstafu Mwinyi, na pia wastafu wa Zanzibar.

Hii kamati ndio huwa inapokea majina ya watoto wa viongozi wanao hitaji nafasi mbali mbali za juu, na wanacho fanya ni kupitia hayo majina na kumpatia Raisi ili sasa awaangalie kwenye teuzi.Pia endapo kuna mtoto anataka examption za Kodi, Upendeleo kwenye maswala tenda na maswala mengine.

Emanueli Nchimbi wakati mkataba unaasisiwa alikuwa UVCCM, na inaaminika alitoa mchango mkubwa sana wa mawazo na ya jinsi huu mkataba utatekelezwa na ndio maana wazee wakaona ni lazima Mama amrudishe Emanul kwenye nafasi za juu either ndani ya Chama au Serikalin yaani awe active katika siasa na sio kuwa Balozi.

Kumbuka pia huu mkataba ulifutwa na Magufuri wakati wa utawala wake na hakutaka kusikia huo ujinga kamwe.

Hii kamati pia ina kazi ya kupokea malalamilo kutoka kwa watoto wa wastafu wote, endapo wanakumbana na Changamoto zozote, kunyanyaswa labda na TRA, na mamlka zingine au kupewa nafasi ambazo hazina hadhi, Watoto wengi hawataki ukuu wa wilaya wala Mkoa,wanataka sana Ukurugenzi au nafasi zingine za hadhi yao.

Kilicho fanya Magufuri afute huu mkataba ni kitendo cha watoto wengi kuwa wanapitisha mizigo free Bandarini, hilo Magufuri alilipinga sana na Ridhiwani ndio mtoto wa kwanza kukumbana na kizingiti hichi wakati wa Magufuri mara baada kuwa alikuwa mtoto wa wa Mstafu anaye pitisha mizigo mingi sana Bandarini free.

Kama ni mfuatiliaji wa mikutano ya Halimashauri kuu za CCM wakati wa Magufuri,kuna siku Yusufu makamba aliwahi tamka ndani ya mkutano kwamba Raisi wetu sio mtu wa vimemo hivyo msimsumbue na vimemo vya teuzi, ndio kipindi hicho Magu alikuwa ametoka kupiga pini huo mkataba Mwitongo.

Kumbuka awamu ya mama huu mkataba Mwitongo uko implemented kwa 100%
Conspiracy theory
 
Back
Top Bottom