Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

Mkuu;

Kwanza tukubaliane kuwa watoto wa kiongozi, Tajiri na masikini wote ni raia wa Tanzania na wana haki ya kuajirika kwa kukidhi vigezo na masharti ya ajira.

Pili, sio kweli na sio vyema kugeneralize au kupotray kuwa nafasi zote kwenye taasisi ulizooredhesha zime hodhiwa kwa watoto wa kada ya viongozi, ushawishi na wenye ukwasi tu.

Tatu, ukichukulia kwa mfano TRA nchi nzima inaweza kuwa na wafanyakazi wasiopungua 3,000 ukiscrutinize watoto wa viongozi wanaweza was ifike hata 20, Avery minute percentage! Na wapo kwenye different level, and honestly waliobahatika wakafika top level wapo pale on merits!

Nne, tuache chuki na kujiona sisi ndio tuna haki zaidi kuliko wengine! Tuache kulia lia kila wakati na kuplay victims every time and then! Mlidanganyika kuwa nyie ni wanyonge! Hakuna mtanzania mnyonge wala masikini!

Tano, hata kwenye political class watoto wa viongozi ni wachache sana compared to the other classes, lakini utakuta mtu kapanua mdomo kupiga keleeeeele utafikiri mdomo wa kiboko!! Utafikiri watoto wa viongozi sio watanzania, au katiba imewakataza kushika nafasi yoyote nchini! wivu mtupu!

Sita, ili kila mtu afaidike, let's put the government of the day to task icreate more than enough jobs ili kila mtu aajirike, hizi kelele ndio zitaisha!

Lakini kama maandamano tu, jambo halali kikatiba inaonekana ni vurugu na nongwa! Kwanini mtoto wa kiongozi kuwa kwenye nafasi asitafsirike kuwa kapendelewa! Ujinga mtupu!

Mkuu, ajenda kuu ya uchaguzi iwe ni ajira! Tuache wivu na chuki!
 
Mbona Magu mwenyewe pia alijaza wanae, wakwe zake, mahawara zake na kabila lake kwenye teuzi mbalimbali? Huu wa kwake ulikuwa ni Mkataba wa Chato, Koromije, au wapi?
 
Kweli kabisa kuhusu Rifhiwani kuingiza mizigo bure kwani mpaka akajenga container depot sehemu za Tegeta kuelekea Bunju!
 
Mbona Magu mwenyewe pia alijaza wanae, wakwe zake, mahawara zake na kabila lake kwenye teuzi mbalimbali? Huu wa kwake ulikuwa ni Mkataba wa Chato, Koromije, au wapi?
πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ†’
 
Hamna kitu kama hiki CCM. Hizi ni pumba tu, pelekea nguruwe
 
Mkuu wewe ni mmojawapo wa Sukuma gang?
 
Tuikatae CCM watanzania la sivyo tutajuta!
 
Kama huu mkataba upo kweli, basi hii nchi bora tuchinjane tu ili kuikomboa kutoka kwenye huu udhalimu
 
Sawa kwani lazima Kila mtu awe Kiongozi? Kwani Dewji ana Mpango wa kuwa Kiongozi?

Wengine wacheze kwenye Uongozi wengine watatunza kibubu.
Tanzania ina ufinyu/uhaba mkubwa wa fursa nzuri nje ya siasa na ajira za serikali ndio maana kila mtu anakimbilia uongozi na watu wengine wanaacha biashara zao au kuendeleza biashara za familia na badala yake kwenda kuomba na kufanya kazi TRA au kuwa DED, DC n.k.

Pia uchawa kwa kiasi kikubwa unasababishwa na uhaba huo wa fursa nzuri hali inayofanya nchi kuwa na wafanyabiashara wa uchumi wa wakati waliofanikiwa wachache sana, bado tuna safari ndefu sana.

Kinachotakiwa ni uchumi uwe na uwezo wa kuwatengeneza wakina Dewji na Bakheresa wengi sana kila mkoa katika nchi.
 
Nyerere aliondoa ukabila kwa nia njema lakini akaruhusu kuundwa kwa kabila dharimu la kisiasa ambalo lilipora na kujimilikisha kazi za utawala wa Dola.

Vyama vinapaswa kutoa viongozi tu, Kazi za kutawala na upangaji wa sera za taifa aidha utekelezaji wake unapaswa kuwa shughuli rasmi ya Serekali bila kuingiliwa na vyama kama ilivyo sasa. πŸ€”
 
Umesema sahihi kuhusu hitaji la fursa zaidi za ajira kuongezwa ili kuondoa dhana ya watoto wa viongozi kupendeleea kupewa nafasi za uongozi, jambo muhimu ni fursa za biashara na nzuri sio bodaboda, mama ntile na umachinga.

Lakini pia ni ukweli na sio dhana tu kuwa ajira nzuri za uongozi zimekaliwa na watoto wa viongozi au watoto wa marafiki. Kwa haraka haraka ngazi ya juu tu kitaifa kuna Ridhiwani, January, Nape, Mavunde, Mchengerwa, Mwinyi
 
Endelea kujidanganya.Kwamba watu wenye hela ni Wanasiasa tuu au? By the way walianzia kwenye kusaka pesa ndio wakaja kwenye siasa.
 
Endelea kujidanganya.Kwamba watu wenye hela ni Wanasiasa tuu au? By the way walianzia kwenye kusaka pesa ndio wakaja kwenye siasa.
Wanasiasa, bandari, TRA n.k hawatengenezi na hawana hela ila wana mpenyo wa kuzipata pesa kiurahisi "deals" kama mtu akitaka na hiko ndicho kinawafanya wengi kupigana kufa na kupona kuzipata hizo nafasi, kuwapatia watoto na ndugu zao.
 
Wanasiasa, bandari, TRA n.k hawatengenezi na hawana hela ila wana mpenyo wa kuzipata pesa kiurahisi "deals" kama mtu akitaka na hiko ndicho kinawafanya wengi kupigana kufa na kupona kuzipata hizo nafasi, kuwapatia watoto na ndugu zao.
Ndio kuwa na wewe mwanasiasa izipate ,acha wengine tupambane tunavyoweza.
 
Ndio kuwa na wewe mwanasiasa izipate ,acha wengine tupambane tunavyoweza.
Kupambana unavyoweza ni jambo moja, mfumo kuwa na mazingira rafiki ya wewe kutoboa kutokana na mapambano yako na kukufanya uishi "decent life" ni jambo lingine.
 
Kupambana unavyoweza ni jambo moja, mfumo kuwa na mazingira rafiki ya wewe kutoboa kutokana na mapambano yako na kukufanya uishi "decent life" ni jambo lingine.
Mazingira ni rafiki sana tuu,excuses hazitakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…