Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

Waafrika/ watanzania wengi hawajui chochote, ila wachache tu ambao ni nusu asilimia (0.5%) ndio wanajua.

Ukweli ni kuwa HAKUNA mtanzania au mwafrika anaeweza kuwa KIONGOZI. HAKUNA na haijawahi kutokea.

Unajua maana ya Uongozi au kuwa Kiongozi?

(Nani) aliyepata kuwa kiongozi katika historia ya nchi yetu au Afrika ana sifa za kuwa kiongozi?

Uongozi Tanzania/Afrika ni ujira. Ni ajira. Hawa watu wanatafuta ajira. Hizi kelele sijui nani sijui nini, hakuna kiongozi au Uongozi; wote hao wanahangaikia ajira.

Waafrika ni watu wa mshahara. Hakuna kiongozi wala Uongozi.
 
Umeelewa mkaba unaojadiliwa hapa ?
Unazungumzia uchaguzi wa mwaka 2015 mleta huu uzi unazungumzia maslahi ya watoto wa viongozi,huoni tofauti ?
Nilikuwa nikimjibu aliyeniuliza ni vipi Magufuli alipitishwa kugombea URAIS ilihali walikuwepo watoto wa Viongozi kama Makamba jr!
Nikampa hilo jibu !
 
Hakina Tatizo uongozi kuwa ajira au ujira, kinachotakiwa ni fursa sawa ya kufikia huo ujira kwa watu wote na pia uwajibikaji sahihi katika huo ujira.
 
Sijasikia watu wakihoji asili ya Nchimbi pamoja na kufanana na watu wa Malawi au Msumbiji, Kwa nini nongwa ya ukabila inaibuliwa kwa watu watokao mpaka wa magharibi?.....Idara ya uhamiaji vipi? vigezo vyenu vya ubini na muonekano havina nafasi hapa? πŸ€”
 
Mkuu,

Kwanza kabisa mimi sitetei nepotism. Naipinga sana. Hivyo sitaki kuonekana naitetea. Napanua mazungumzo tu.

Unafikiri Nyerere asingekuwa mtoto wa Chifu angekuwa rais wa Tanzania?

Kwa hiyo Maza naye ni mtoto wa Chifu nani .....!! Au ndiyo sababu amevikwa Uchifu Hangaya?
 
Mbona Magu mwenyewe pia alijaza wanae, wakwe zake, mahawara zake na kabila lake kwenye teuzi mbalimbali? Huu wa kwake ulikuwa ni Mkataba wa Chato, Koromije, au wapi?
Weka evidence.lakini tunaona kabisa hao watoto wa vigogo kutoka Msoga wapo.weka evidence ya ndugu wa magufuli.acha kuropoka weka evidence.
 
Na huu ndo ukweli mchungu ambao waafrika wengi hawataki kuukubali.Botha aliwaambia ukweli mchungu waafrika wenye akili wanafaham hilo.
 
πŸ™
 
πŸ™πŸ†’
 
Kodi walipe watoto wa rank ya chini lakini hawa wa rank ya juu double standard, Je na mataifa yaliyoendelea yanafanya ujinga huu?
Nchi ya viongozi majuha unakuta yanatoa misamaha ya kodi kwa wawekezaji wa kigeni huku muuza nyanya, viazi, machinga akitakiwa kulipa kodi,
Trump anayapa elimu kwa vitendo maviongozi ya Kiafrika yenye kupenda kuzungusha mabakuli nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…