Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kama mazingira ni rafiki kwa nini uchawa umekithiri hadi kwa wasomi??Mazingira ni rafiki sana tuu,excuses hazitakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mazingira ni rafiki kwa nini uchawa umekithiri hadi kwa wasomi??Mazingira ni rafiki sana tuu,excuses hazitakusaidia
Hivi ccm kumbe ni madhalimu hivi, kwa hiyo watoto wa wakubwa lazima wapewe kipa umbele duuh...Wakubwa wanaujua, hauwezi wekwa Public,
Waafrika/ watanzania wengi hawajui chochote, ila wachache tu ambao ni nusu asilimia (0.5%) ndio wanajua.Mkuu;
Kwanza tukubaliane kuwa watoto wa kiongozi, Tajiri na masikini wote ni raia wa Tanzania na wana haki ya kuajirika kwa kukidhi vigezo na masharti ya ajira.
Pili, sio kweli na sio vyema kugeneralize au kupotray kuwa nafasi zote kwenye taasisi ulizooredhesha zime hodhiwa kwa watoto wa kada ya viongozi, ushawishi na wenye ukwasi tu.
Tatu, ukichukulia kwa mfano TRA nchi nzima inaweza kuwa na wafanyakazi wasiopungua 3,000 ukiscrutinize watoto wa viongozi wanaweza was ifike hata 20, Avery minute percentage! Na wapo kwenye different level, and honestly waliobahatika wakafika top level wapo pale on merits!
Nne, tuache chuki na kujiona sisi ndio tuna haki zaidi kuliko wengine! Tuache kulia lia kila wakati na kuplay victims every time and then! Mlidanganyika kuwa nyie ni wanyonge! Hakuna mtanzania mnyonge wala masikini!
Tano, hata kwenye political class watoto wa viongozi ni wachache sana compared to the other classes, lakini utakuta mtu kapanua mdomo kupiga keleeeeele utafikiri mdomo wa kiboko!! Utafikiri watoto wa viongozi sio watanzania, au katiba imewakataza kushika nafasi yoyote nchini! wivu mtupu!
Sita, ili kila mtu afaidike, let's put the government of the day to task icreate more than enough jobs ili kila mtu aajirike, hizi kelele ndio zitaisha!
Lakini kama maandamano tu, jambo halali kikatiba inaonekana ni vurugu na nongwa! Kwanini mtoto wa kiongozi kuwa kwenye nafasi asitafsirike kuwa kapendelewa! Ujinga mtupu!
Mkuu, ajenda kuu ya uchaguzi iwe ni ajira! Tuache wivu na chuki!
Nilikuwa nikimjibu aliyeniuliza ni vipi Magufuli alipitishwa kugombea URAIS ilihali walikuwepo watoto wa Viongozi kama Makamba jr!Umeelewa mkaba unaojadiliwa hapa ?
Unazungumzia uchaguzi wa mwaka 2015 mleta huu uzi unazungumzia maslahi ya watoto wa viongozi,huoni tofauti ?
Duh 🙄Mbona Magu mwenyewe pia alijaza wanae, wakwe zake, mahawara zake na kabila lake kwenye teuzi mbalimbali? Huu wa kwake ulikuwa ni Mkataba wa Chato, Koromije, au wapi?
Hakina Tatizo uongozi kuwa ajira au ujira, kinachotakiwa ni fursa sawa ya kufikia huo ujira kwa watu wote na pia uwajibikaji sahihi katika huo ujira.Waafrika/ watanzania wengi hawajui chochote, ila wachache tu ambao ni nusu asilimia (0.5%) ndio wanajua.
Ukweli ni kuwa HAKUNA mtanzania au mwafrika anaeweza kuwa KIONGOZI. HAKUNA na haijawahi kutokea.
Unajua maana ya Uongozi au kuwa Kiongozi?
(Nani) aliyepata kuwa kiongozi katika historia ya nchi yetu au Afrika ana sifa za kuwa kiongozi?
Uongozi Tanzania/Afrika ni ujira. Ni ajira. Hawa watu wanatafuta ajira. Hizi kelele sijui nani sijui nini, hakuna kiongozi au Uongozi; wote hao wanahangaikia ajira.
Waafrika ni watu wa mshahara. Hakuna kiongozi wala Uongozi.
Kabisa mkuu.Nchi ya kifalme iliyojivika jina demokrasia ya chama kimoja
Mkuu,
Kwanza kabisa mimi sitetei nepotism. Naipinga sana. Hivyo sitaki kuonekana naitetea. Napanua mazungumzo tu.
Unafikiri Nyerere asingekuwa mtoto wa Chifu angekuwa rais wa Tanzania?
Weka evidence.lakini tunaona kabisa hao watoto wa vigogo kutoka Msoga wapo.weka evidence ya ndugu wa magufuli.acha kuropoka weka evidence.Mbona Magu mwenyewe pia alijaza wanae, wakwe zake, mahawara zake na kabila lake kwenye teuzi mbalimbali? Huu wa kwake ulikuwa ni Mkataba wa Chato, Koromije, au wapi?
Na huu ndo ukweli mchungu ambao waafrika wengi hawataki kuukubali.Botha aliwaambia ukweli mchungu waafrika wenye akili wanafaham hilo.Waafrika/ watanzania wengi hawajui chochote, ila wachache tu ambao ni nusu asilimia (0.5%) ndio wanajua.
Ukweli ni kuwa HAKUNA mtanzania au mwafrika anaeweza kuwa KIONGOZI. HAKUNA na haijawahi kutokea.
Unajua maana ya Uongozi au kuwa Kiongozi?
(Nani) aliyepata kuwa kiongozi katika historia ya nchi yetu au Afrika ana sifa za kuwa kiongozi?
Uongozi Tanzania/Afrika ni ujira. Ni ajira. Hawa watu wanatafuta ajira. Hizi kelele sijui nani sijui nini, hakuna kiongozi au Uongozi; wote hao wanahangaikia ajira.
Waafrika ni watu wa mshahara. Hakuna kiongozi wala Uongozi.
🙏Umesema sahihi kuhusu hitaji la fursa zaidi za ajira kuongezwa ili kuondoa dhana ya watoto wa viongozi kupendeleea kupewa nafasi za uongozi, jambo muhimu ni fursa za biashara na nzuri sio bodaboda, mama ntile na umachinga.
Lakini pia ni ukweli na sio dhana tu kuwa ajira nzuri za uongozi zimekaliwa na watoto wa viongozi au watoto wa marafiki. Kwa haraka haraka ngazi ya juu tu kitaifa kuna Ridhiwani, January, Nape, Mavunde, Mchengerwa, Mwinyi
🙏La msingi ni kuwa viongozi wote ni wadhalimu ; wote ni hao hao Magu alimpa mtoto wa Mkapa unaibu katibu mkuu!!
Iwe mkataba wa Mwitongo au Chato yote ni haramu kwa maendeleo ya nchi!
🙏🆒Waafrika/ watanzania wengi hawajui chochote, ila wachache tu ambao ni nusu asilimia (0.5%) ndio wanajua.
Ukweli ni kuwa HAKUNA mtanzania au mwafrika anaeweza kuwa KIONGOZI. HAKUNA na haijawahi kutokea.
Unajua maana ya Uongozi au kuwa Kiongozi?
(Nani) aliyepata kuwa kiongozi katika historia ya nchi yetu au Afrika ana sifa za kuwa kiongozi?
Uongozi Tanzania/Afrika ni ujira. Ni ajira. Hawa watu wanatafuta ajira. Hizi kelele sijui nani sijui nini, hakuna kiongozi au Uongozi; wote hao wanahangaikia ajira.
Waafrika ni watu wa mshahara. Hakuna kiongozi wala Uongozi.
Usinipotezee basi mudaWeka evidence.lakini tunaona kabisa hao watoto wa vigogo kutoka Msoga wapo.weka evidence ya ndugu wa magufuli.acha kuropoka weka evidence.
Kodi walipe watoto wa rank ya chini lakini hawa wa rank ya juu double standard, Je na mataifa yaliyoendelea yanafanya ujinga huu?Kilicho fanya Magufuri afute huu mkataba ni kitendo cha watoto wengi kuwa wanapitisha mizigo free Bandarini, hilo Magufuri alilipinga sana na Ridhiwani ndio mtoto wa kwanza kukumbana na kizingiti hichi wakati wa Magufuri mara baada kuwa alikuwa mtoto wa wa Mstafu anaye pitisha mizigo mingi sana Bandarini free.