Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Wazee wa Kijiji Cha KwaMsisi kilichopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamekubali kupokea Shilingi Milioni 1 na laki 3 kwaajili ya Kufanya Tambiko katika Ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kijijini hapo
Hapo Awali wazee hao walimtaka Mkuu wa Wilaya Hiyo Siriel Nchembe kupewa Tsh milioni 21 pamoja na ndoo 7 zilizojaa mate ya binadamu ili waweze kufanya Tambiko Hali iliyopingwa na Viongozi wa Serikali na kuwataka wazee hao Kupunguza Dau Hilo
Mkandarasi wa Barabara Hiyo Alipeleka Malalamiko kwa Viongozi wa Serikali wafanyakazi wake Wanasikia Sauti za Ajabu Nyakati za Usiku pamoja na kutokea Matukio ya kutatanisha ikiwemo kupotea Gari la kazi, Hali iliyomrudisha Tena Mkuu wa Wilaya kwa wazee Hao ili Kumaliza Tatizo Hilo na Wazee Wameridhia.