FANYENI KAZIKuna wale wadau wa Nyama choma kila weekend lazima mtu awe location flani hivi halafu pembeni kuna rhumba inasikika stress zote za wiki zinayeyuka . Wiki hii GPS inakusoma upo wapi ? Au wapi kuna mafundi wa nyama choma wadau tusogee ila hatuji kukuomba maana watu wataogopa kufunguka
MnadaniGoba sehemu gani mkuu
Na cc tunataka kunenepa kama wewe kwenye picha yako hapo punguza makasiriko unataka bonge uwe mwenyeweFANYENI KAZI
Hahahahahaaaaa humu dani jamvini mba vituko.Na cc tunataka kunenepa kama wewe kwenye picha yako hapo punguza makasiriko unataka bonge uwe mwenyewe