professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
HahahahahaHio ndio maana siwapendi hawa wapuuzi na deni ntalipa nikijiskia sio kipaumbele kwa sasa. Akikosa kosa anaamua kukubambikia lolote analoona rahisi kwake.
Hongera mkuu, ungekuwa na BMW, Benz au Audi ingekuwa burudani sana
Yes huyu ni King mkuu, salute kwake
Sema sina hela sio hatuna hela
Huyu mwamba kweli 😀 kapasuka haswa! Wazee hela ipo tuangalie pa kuziokota tu.
Hahahahah unaagiza chap huku simba wanasubiria giza liingie wakufuturu🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa Unaagiza nairobi chap hapa chuma imetaga mikumi
Daah pesa tamu
Unyama mwingiDaah pesa tamu
Kukaja kununu,fertile&greenish!
Si mchezo.
Ile ya Ruto?Wakenya kuna ile lexus moja naona wanaipost sijui nairobi nzima ipo ile tu[emoji23]
Ile ya Ruto?
Manake huyo jamaa Lexus ndo gari anazozipenda.
[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2501033