Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nilipigwa tochi Chinangali, ikabidi tukubaliane kiutu uzima tu maana kwenye kubao cha 50, nilikuwa nishawaka 171kph
Hapo unakuwa muungwana sana. Mimi darajani kuna siku nawahi asubuhi akanipiga tochi nina 120kph zone ya 30kph nikamwambia mheshimiwa andika niende tu hakuna namna!
 
Maafande wa njia yako hao wao hata Jumapili wanatega ndoano 🤣🤣🤣

Kuna faller mmoja hivi huwa anatega maeneo karibu na kanisa sijui la RC au KKKT lile...ukiwa unatokea njia ya Darajani kama unaenda Ferry, sasa kuna kinjia (one way) kinakunja kulia hapo ili utokee upande wa NMB/barabara ya baharini, ukijimiksi tu ukakunja hapo unamkuta kwenye kona ya kwanza anakungoja...

Wao wanataka ukakunjie kwa mbele ambapo huwa kuna foleni kinoma mida fulani...
 
🤣 Jamaa katega chambo anajua kuna boya atatanua tu

Ahaaa pale ni kweli imekuwa one way, unaingilia kule mbele unatokea hapa kanisani. Hilo wazo tuliwapa sisi maanake palikuwa hapafai hapo kwa foleni. Ila siku hizi kuna njia pale navy inatokea mikadi ya lami kabisa imekamilika kwahio huna sababu ya kwenda hadi ferry. Ukianza tu fence ya navy unakunja kulia.
 
Yeah kama huna utapiga simu zote hawakuachi labda uwatoe tena.
Hahahah nilishadakwa njia ya Ubungo CNG, walikuwa na mkuu wa kituo kwenye coaster kabisa 🤣🤣🤣 sitasahau ile siku nilipiga simu hadi nikachoka.

Mwamba kachukua funguo na kashanichorea. Chuma haina bima mzee ananiambia hadi ulipe bima lasivyo chombo inaenda kituoni.

Ilibidi nimpe wife ugonjwa wa kuzidiwa ndio akaniachia 😀
 
Back
Top Bottom