Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hio ndio maana siwapendi hawa wapuuzi na deni ntalipa nikijiskia sio kipaumbele kwa sasa. Akikosa kosa anaamua kukubambikia lolote analoona rahisi kwake.
View attachment 2496283
Dawa ya deni kulipa acha kulialia. Wanaweka camera maeneo fulani watakubana tu utalipa bila kupenda. Tii sheria bila shuruti.
 
Kwa namna walivyokuwa kikosi kazi nilijua sitoboi lazma ningeweka pembeni tu 🤣
Barabara tamu ukijiachia tu imekula kwako....pale tuna-enjoy asubuhi sana na usiku, ikifika saa nne mpaka kumi na moja jioni kuwa makini. Weekend ndio balaa siku za mavuno kwao. Mkishtukia darajani wanasogea mbele kule kwenye matenki ya mafuta.
 
Mi ilikuwa Jumamosi ile tena ni boxing day njia zote nyeupe ila pale sasa ni noma na nusu 🤣🤣🤣 nilivyoona wenzangu wanafungua nozzle namimi nikakaza mguu kidogo... Kuja kusanuka wazee waleee...
 
Back
Top Bottom