Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hiyo uliyo toa wewe kama upo kwenye hali ya kawaida na gari ikasoma cold,hilo ni tatizo ,ila kama upo sehemu ya baridi kali na mshale ukashuka kuelekea kwenye cold hilo si tatizo.huwa haukai kwenye cold kabisa ila unakuwa upo below normal
Dahh wazee mnanichanganya sana anyway ila safi tu.
 
"mshale wa temperature hushuka pale unapoingia sehemu ya baridi"

Kama hcho ulichoandika ni sahh basi tunategemea ukitoka makete kuja dar basi mshale utapanda juu usome "HOT" mana dar kuna joto si ndio?
Dar haina joto la kuchemsha gari,kama ingekuwa na joto hilo ungeona watu wana tembea na mafeni barabarani au ac kabisa au pangeshindikana kabisa kuishi.

Ww hujawahi ona kuna gari zilizo dizainiwa kutumika sehemu za baridi sana hasa ulaya , hasa hasa lori na ukiileta huku kwetu kuipgisha mzigo mara nyingi zinakuwa na changamoto ya kuchemsha,fuatilia hilo
 
Natoa elimu ya bure kama hutaki kalaghabaho.
Gari Ina specific operating temperature ambayo mara nyingi ni 90c. Hii ni joto la engine aka coolant temperature. Ili engine ifanye kazi vizuri temperature hii inatakiwa iwe hivyo hivyo aidha uko Dubai au Siberia. Waliotengeneza gari wanajua kuna hali za hewa tofauti hivyo wameweka system ya kuhakikisha temperature hio ina remain constant. Ndio maana kuna radiator,water pump,thermostat,fan
Ukiona temp ya engine yako inabadilika kutokana na mazingira jua kuna shida.
Hata mwili wako uns operating temp 37c ikishuka sana au ikipanda sana UNAKUFA.
Hivi wewe ukikaa sehemu ya baridi kali mwili wako uta remain 37c.? Nini hupelekea mtu kupanda joto au kushuka joto,Nini hutokea mtu kuanza kutetemeka kutokana na baridi , au nini hutokea mtu kuanza kutokwa jasho ,ni ugonjwa pekee au?
Kwa nini mwili wake usi ji control wenyewe kuzuia hali hiyo.

Chombo chochote huweza kuathiliwa utendaji kazi wake kutokana na hitilafu au mazingira .

Mfano chukua gari uiweke kwenye handaki usiruhusu hewa ipite, kisha ipige lesi mwanzo mwisho ,hata kama isipo tembea uone kama haitachemsha.....

Harafu uchukue gari uiweke cold room,uipige lesi mwanzo mwisho uone kama itachemsha,Never

Mazingira yanachangia kupanda au kushuka kwa temperature,sio ubovu pekee.
 
Endelea na unachojua mkuu.
 
Si kweli, alichoandika mdau (RRONDO) kina mantiki sana. Kwa maelezo yako inaonesha kuwa gari yako uetoa thermostat ambalo ni hatari coz engine ya gari lako mda wote lina run rich (kitu ambacho kitachangia ulaji mwingi wa mafuta na kuua engine yako mapema).

Kuhusu mwili, kutetemeka au kutoka majasho ni reaction ya mwili kujaribu ku maintain the allowable body temperature kwa viungo vilivyo ndani ya mwili ambavyo vinahitaji kuwa at normal temperature kufanya kazi.
 
Hiyo uliyo toa wewe kama upo kwenye hali ya kawaida na gari ikasoma cold,hilo ni tatizo ,ila kama upo sehemu ya baridi kali na mshale ukashuka kuelekea kwenye cold hilo si tatizo.huwa haukai kwenye cold kabisa ila unakuwa upo below normal
Aisee!

Umesoma hata kilichomo kwenye hiyo link ndugu?
 
IMG_0510.jpg

Nipatieni na hii
 
Back
Top Bottom