Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni mimi kaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilikua natumia jina la Mnanso. Laptop yangu ilifanyiwa service nikakuta accounts zote zimejifuta kuingia mpaka password na nilishazoea kuingia direct. Nilipoweka password ikawa wrong so nikafungua hii account mpya though roho inauma sana kupoteza ile account. Mods kama mnaona comment yangu hii naombeni mniunganishe na account yangu ya zamani Mnanso. Asante kaka Rrondo kwa kujali[emoji7][emoji7][emoji7]
Kama una access na email ulotumia kufungua account fanya hv......
1.ingia jamii forum sehemu ya log in,, watakutaka uweke username au email,,, weka email

2.kuna sehem ya kujaza password,,, click pale palipoandikwa forget pasword afu kuna mail utapokea kutoma jamiiforum ambayo itakusaidia kurecover account yako!!
 
Imegoma pia, mods wanisaidie kuunganisha account
 
Hakuna kitu kama hicho,mshale wa temperature hushuka pale unapoingia sehemu ya baridi ,nenda makete,makambako au ifupa harafu ukutane na mvua ,mshale unashuka chini kabisa kwenye cold.
Kule injini huwa inapoa kabisa unaweza hisi gari imezima ,
Duh sawa mkuu. Uko sahihi kabisa. Ha ha ha ha ha ha ha
 
Hakuna kitu kama hicho,mshale wa temperature hushuka pale unapoingia sehemu ya baridi ,nenda makete,makambako au ifupa harafu ukutane na mvua ,mshale unashuka chini kabisa kwenye cold.
Kule injini huwa inapoa kabisa unaweza hisi gari imezima ,
hili lilinitokea siku moja nimeenda IGOMA Njia ya kwenda kitulo, nimetoka zangu uyole pale mshale upo sawa tu. nimefika isyonje naona mshale wa joto unashuka maana kulikuwa na baridi hatari, kusogea pale igoma baridi imechanganya hadi barafu inadondoka na kucheki mshale wa temperature ni kama sijawasha gari.... ila niliporudi town mshale ukarudi mahala pake
 
Natoa elimu ya bure kama hutaki kalaghabaho.
Gari Ina specific operating temperature ambayo mara nyingi ni 90c. Hii ni joto la engine aka coolant temperature. Ili engine ifanye kazi vizuri temperature hii inatakiwa iwe hivyo hivyo aidha uko Dubai au Siberia. Waliotengeneza gari wanajua kuna hali za hewa tofauti hivyo wameweka system ya kuhakikisha temperature hio ina remain constant. Ndio maana kuna radiator,water pump,thermostat,fan
Ukiona temp ya engine yako inabadilika kutokana na mazingira jua kuna shida.
Hata mwili wako uns operating temp 37c ikishuka sana au ikipanda sana UNAKUFA.
 
shukrani mkuu, inawezekana kweli chuma ilikuwa na mafua ndo maana ikashusha mshale baada ya kukutana na baridi.. japo ni miaka mingi ishapita
 
Hakuna kitu kama hicho,mshale wa temperature hushuka pale unapoingia sehemu ya baridi ,nenda makete,makambako au ifupa harafu ukutane na mvua ,mshale unashuka chini kabisa kwenye cold.
Kule injini huwa inapoa kabisa unaweza hisi gari imezima ,
"mshale wa temperature hushuka pale unapoingia sehemu ya baridi"

Kama hcho ulichoandika ni sahh basi tunategemea ukitoka makete kuja dar basi mshale utapanda juu usome "HOT" mana dar kuna joto si ndio?
 
IMG_0508.jpg

Haya wazee wa road trip naombeni location.
 
Natoa elimu ya bure kama hutaki kalaghabaho.
Gari Ina specific operating temperature ambayo mara nyingi ni 90c. Hii ni joto la engine aka coolant temperature. Ili engine ifanye kazi vizuri temperature hii inatakiwa iwe hivyo hivyo aidha uko Dubai au Siberia. Waliotengeneza gari wanajua kuna hali za hewa tofauti hivyo wameweka system ya kuhakikisha temperature hio ina remain constant. Ndio maana kuna radiator,water pump,thermostat,fan
Ukiona temp ya engine yako inabadilika kutokana na mazingira jua kuna shida.
Hata mwili wako uns operating temp 37c ikishuka sana au ikipanda sana UNAKUFA.
Lakini mkuu ikipanda mlima temperature si inatakiwa ipande ikipata mteremko ndio ishuke
 
Hakuna kitu kama hicho,mshale wa temperature hushuka pale unapoingia sehemu ya baridi ,nenda makete,makambako au ifupa harafu ukutane na mvua ,mshale unashuka chini kabisa kwenye cold.
Kule injini huwa inapoa kabisa unaweza hisi gari imezima ,
Kwa hiyo Siberia au Russia ambako muda mwingi ni joto ni minus degrees, mshale wa temp utakuwa wapi? Maana temp gauge haina hicho kiwango?

Ebu ongezea hapa pia pale aliposema RRONDO.

"mshale wa temperature hushuka pale unapoingia sehemu ya baridi"

Kama hcho ulichoandika ni sahh basi tunategemea ukitoka makete kuja dar basi mshale utapanda juu usome "HOT" mana dar kuna joto si ndio?
We unaongea kitu gani kaka,kushuka kwa temperature unapoingia eneo lenye baridi kali ni kawaida,na ukakuta eneo ni tambarare ambalo halihitaji injini itumie nguvu nyingi,mshale lazima ushuke mana injini inakuwa inapozwa kwa uharaka zaidi kuliko inavyotumika.

Huo sio ubovu wa gari wala nini.Nimeshatumia gari mbili tofauti na hali hiyo ikawa inajitokeza,gari zenyewe ni za shirika na ni mpya.
Kama unabisha peleka gari yako sehemu ya baridi kali na ukute barabara ni tambarare uone kama mshale utabaki ivo ivo.

Kuhusu ujoto dar si ujoto wakutisha huo ,ila kama kungekuwa na joto kali sana kiasi cha kupelekea watu kutembea na ac barabarani lazima gari zingekuwa zinachemsha. Kuna sehemu temperature inashuka hadi 8, kiwango cha 9- 11 ni kawaida.Sa unategemea mshale usomo normal na wakati joto halipo la kutosha kwenye ingini.
 
Kwa hiyo Siberia au Russia ambako muda mwingi ni joto ni minus degrees, mshale wa temp utakuwa wapi? Maana temp gauge haina hicho kiwango?

Ebu ongezea hapa pia pale aliposema RRONDO.

Hiyo uliyo toa wewe kama upo kwenye hali ya kawaida na gari ikasoma cold,hilo ni tatizo ,ila kama upo sehemu ya baridi kali na mshale ukashuka kuelekea kwenye cold hilo si tatizo.huwa haukai kwenye cold kabisa ila unakuwa upo below normal
 
Yeah huwa napenda sana biege interiors. Gari hata ikiwa na plastics ila zikiwa biege kama Raum au Porte huwa zinaonekana gari kweli.
Yangu interior ni biege kanavutia kiasi chake au nasema uongo ndugu zangu [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom