King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Kama una access na email ulotumia kufungua account fanya hv......Ni mimi kaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilikua natumia jina la Mnanso. Laptop yangu ilifanyiwa service nikakuta accounts zote zimejifuta kuingia mpaka password na nilishazoea kuingia direct. Nilipoweka password ikawa wrong so nikafungua hii account mpya though roho inauma sana kupoteza ile account. Mods kama mnaona comment yangu hii naombeni mniunganishe na account yangu ya zamani Mnanso. Asante kaka Rrondo kwa kujali[emoji7][emoji7][emoji7]
1.ingia jamii forum sehemu ya log in,, watakutaka uweke username au email,,, weka email
2.kuna sehem ya kujaza password,,, click pale palipoandikwa forget pasword afu kuna mail utapokea kutoma jamiiforum ambayo itakusaidia kurecover account yako!!