Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi kuna karatasi iko hivi kweli?
Wanasema tunaendesha karatasi. Hata kama kweli yanawahusu nini?
fcc9e3428e4d43568ef105b66f5129cb.jpg
 
Kuna mdada member wa hii thread jina limenitoka kapotea sana. Jina lake wengi walikuwa wanafikiri ni me. Recently alinunua IST sijui yuko wapi?
ISO M.CodD Saint Anne
Ni mimi kaka 🤣🤣🤣🤣nilikua natumia jina la Mnanso. Laptop yangu ilifanyiwa service nikakuta accounts zote zimejifuta kuingia mpaka password na nilishazoea kuingia direct. Nilipoweka password ikawa wrong so nikafungua hii account mpya though roho inauma sana kupoteza ile account. Mods kama mnaona comment yangu hii naombeni mniunganishe na account yangu ya zamani Mnanso. Asante kaka Rrondo kwa kujali😍😍😍
 
Ni mimi kaka 🤣🤣🤣🤣nilikua natumia jina la Mnanso. Laptop yangu ilifanyiwa service nikakuta accounts zote zimejifuta kuingia mpaka password na nilishazoea kuingia direct. Nilipoweka password ikawa wrong so nikafungua hii account mpya though roho inauma sana kupoteza ile account. Na ninajua ni shetani kaniblock bse mara ya mwisho nilimwomba PM mtu aliyetaka msaada wa tatizo lake la sexual immorality, ningempeleka kanisani kwetu hakika angepata breakthrough. Nimeshafanyiwa service ya laptop mara nyingi ila haijawahi kufuta accounts zangu zote had kwenye simu nimekuta zimefutika. Mods kama mnaona comment yangu hii naombeni mniunganishe na account yangu ya zamani Mnanso. Asante kaka Rrondo kwa kujali😍😍😍
Welcome back our MNANSO
 
@RRONDO ulimaanisha hivi? Kuna button fulani nimeibonyeza nikaona temp gauge inasoma hivyo View attachment 2493030
Hii ndio coolant temperature sahihi ambayo haitegemeani na joto la nje.

Hiyo 19 uliyoiona itakuwa outside temperature.

Hata mimi nikiwa mikoa yenye baridi huko Njombe last week, outside temp ilishuka mpaka 11, nikawasha gari nikaendesha dakika 5 coolant temp ikapanda na ikabaki hapo hapo katikati.
 
Hii ndio coolant temperature sahihi ambayo haitegemeani na joto la nje.

Hiyo 19 uliyoiona itakuwa outside temperature.

Hata mimi nikiwa mikoa yenye baridi huko Njombe last week, outside temp ilishuka mpaka 11, nikawasha gari nikaendesha dakika 5 coolant temp ikapanda na ikabaki hapo hapo katikati.
Umeeleweka sana mkali.[emoji120]
 
Hivi ukipigwa deni inaanza kusoma lini kwenye system? jana nilioverspeed mitaa ya Bunju, traffic alichukua leseni yangu na pia akapiga picha mara mbili plate number pamoja na leseni. Cha ajabu nimeangalia katika system jana na leo nakuta SIDAIWI.
Huyo amekuweka kiporo anaweza kuingiza hilo deni siku yoyote cha muhimu ni kukagua mara kwa mara kama umeandikiwa maana ikikaa wiki inaongezeka 7500
 
Back
Top Bottom