Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nakubali sana, nadhani na ww utakuwa na gari yenye uwezo ili uendane na pace yake mzee au alikuwa hafunguki?

Alikuwa anafunguka vizuri sana tu...

Gari ya kawaida ila uzoefu wa barabara kubwa tu ndugu yangu...

Sehemu pekee wanayotuchapa hao jamaa wenye hizo gari ni kwenye matuta, sababu huwa hawapunguzi sana mwendo kama sisi wenye magari ya kawaida...
 
Hvi kirefu cha T1 ni nini?
wenye kujua zaidi watatoa ufafanuzi,ila navojua mimi ni kuwa barabara zote nchini zina majina au namba,ziwe barabara ambazo zipo chini ya TANROAD au zile za TARURA ,za TANROAD huanzia na T( kisha namba ya hiyo barabara,na TARURA huanzia na R( kisha namba ya hiyo barabara pia)hivyo hii T1 ni ile imeanzia pale Ubungo kwenda Morogoro, sijajua inasomeka kama T1 hadi mwisho wapi?
 
1674032525269.png
 
Ok sijajua zaidi lakini uelewa wangu mimi ni kuwa.

T1 maana yake ni barabara ya kitaifa namba 1 na hizi namba zimewekwa ili kukusaida kujua zaidi kua upo kwenye barabara kuu ya kitaifa namba fulani

Ina maana itakuwa rahisi kujua eneo uliko au unakotakiwa kwenda kutokana na namba husika iliyopo pia

Na kwa zaidi hizo herufi katika barabara kama ulivyo ona kuna T au L
ambayo L ikiwa na maana ya kua ni barabara aidha za wilaya au halmshauri .

Hivyo basi ukiwa katika barabara yenye herufi T basi hiyo itakuwa inaweza kukutoa mkoa mmoja mpaka mwingine husika.

Na ukiwa katika barabara za herufi L hapo utakuwa unazunguka katika mji husika tu.

Kwa faida hizo alama utazipata kwenye kundi la alama za Maelekezo za barabarani .

Ahsante na niko tayari kusahihishwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hvi kirefu cha T1 ni nini?
Ok sijajua zaidi lakini uelewa wangu mimi ni kuwa.

T1 maana yake ni barabara ya kitaifa namba 1 na hizi namba zimewekwa ili kukusaida kujua zaidi kua upo kwenye barabara kuu ya kitaifa namba fulani

Ina maana itakuwa rahisi kujua eneo uliko au unakotakiwa kwenda kutokana na namba husika iliyopo pia

Na kwa zaidi hizo herufi katika barabara kama ulivyo ona kuna T au L
ambayo L ikiwa na maana ya kua ni barabara aidha ya wilaya au halmshauri .

Hivyo basi ukiwa katika barabara yenye herufi T basi hiyo itakuwa inaweza kukutoa mkoa mmoja mpaka mwingine husika.
Na ukiwa katika barabara za herufi L hapo utakuwa unazunguka katika mji husika tu.

Kwa faida hizo alama utazipata kwenye kundi la alama za Maelekezo za barabarani .

Ahsante na niko tayari kusahihishwa

Back
Top Bottom