Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah GX100 ikipata kichaa ni balaa. Huyo ulimnyoosha sana aiseeKuna mmoja wa ist mi nilikua na cheser gx100 tulianzia msata alikua hataki nikae mbele yake ila akikaa mbele anatembea speed 120 nikimkata anapambana namwacha anapita ila akishakaa mbele hakimbii tena na mimi speed yangu ya kawaida ilikua 120 adi 160 kulingana na hali ya barabara kafanya ivo ka mara 3 nkaona asiniletee ujinga baada ya wami mbele hapo nkampita nililala na zile kona na ile panda shuka natembea adi 170 hakunifata tena kaja kunikuta segera dk 15 baadae nimesimama kanipigia honi kanipungia kakunjia tanga mi nilikua naenda moshi.