Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Welldone mkuu Nami ni mpenzi sana wa F1, Silverstone grand prix home ground ya Mercedes, ila mimi ni fan wa red team pale Monza
Wow
Tupo wengi ila mimi huwa naanza kwenda mwezi April kuangalia mashindano ya pikipiki na magari ya zamani na waliounda magari yao

Ila grand prix ni July ndio wakali wanakutana
I love racing bro
 
Huo mwendo si kwa njia zetu za bongo hapa,unakufa mapema sana[emoji3][emoji3]
Wanapofanyia racing ni viwanja vya ndege vilivyofungwa miaka
Vilikuwa vinatumika wakati wa second world War kwa [emoji636]
Ndio huwa naenda kila wakati huko

Unaweza kuendesha gari yoyote uipendayo na una race kwa masaa lakini sio bei ndogo ila unafurahisha moyo
Kila mmoja na mapenzi yake kwa kweli
 
W

Wazee inaonekana mlianza kulamba asali kitambo sana
 
Sana baba, nimeendesha gari yangu ya kwanza nikiwa na miaka 19 ilikuwa gt
Namshukuru mzee aliniondoa bongo mapema sana na mimi nikapambana sana

Napenda sana racing [emoji469] na ndoto yangu kujiachia Autobahn siku moja [emoji1]
😀😀😀😀😀 Ingia zako ujerumani tu, mbona easy tu kama fuba lipo.
 
Hapo unawacheki tu, unawaacha wajimalize then unawakata kama wamesimama.
Kuna mmoja wa ist mi nilikua na cheser gx100 tulianzia msata alikua hataki nikae mbele yake ila akikaa mbele anatembea speed 120 nikimkata anapambana namwacha anapita ila akishakaa mbele hakimbii tena na mimi speed yangu ya kawaida ilikua 120 adi 160 kulingana na hali ya barabara kafanya ivo ka mara 3 nkaona asiniletee ujinga baada ya wami mbele hapo nkampita nililala na zile kona na ile panda shuka natembea adi 170 hakunifata tena kaja kunikuta segera dk 15 baadae nimesimama kanipigia honi kanipungia kakunjia tanga mi nilikua naenda moshi.
 
Mie kuna jamaa yangu kazi kunisema nina gari nzuri sasa yanini nahangaika na ma-GX100.[emoji3]
Pia nina jamaa mwingine ana Prado 1KZ ila safari zake zote za highway ni mwendo wa Gx100 tu.
Hizi gx100 ni gari nzuri sana kwa masafa, kwenye kona unalala nayo, inatulia barabarani unamaliza kisahani kama upo 80 vile pia ulaji wake wa mafuta ni rafiki....

Natamani kuhamia crown ila nafsi inasitasita, em wenye nayo nitoeni uoga.
 
Hamia Crown tu mzee, ni upgrade ya comfort class, driving dynamics na speed.
 
Back
Top Bottom