Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Juzi
Mi langu lishafika elf60 kwa sasa na sitembei na gari ng'o mchana, usiku only 🤣🤣🤣 maana mchana sitoboi.
Juzi kati napandisha kile kilima cha kuibukia Makongo juu nikapigwa mkono,gari ya kuazima halafu lina deni la 60,000......ila askari alikuwa muungwana baada ya kumueleza gari ni la adjust na sikujua kuhusu deni,pia sikuwa na hata cha kumpoza akaniruhusu niende tuu
 
Pale makongo juu , askari wa pale wanakaa kimchongo zaidi.. kukupata chochote kitu na waNategemea pale Ardhi au pale juu karibu na njia panda kama unataka tokea its.. na Kinara wao Bonge pipa
 
N
Pale makongo juu , askari wa pale wanakaa kimchongo zaidi.. kukupata chochote kitu na waNategemea pale Ardhi au pale juu karibu na njia panda kama unataka tokea its.. na Kinara wao Bonge pipa
NA huyo huyo bonge ndo alienisimamisha akanikabidhi kwa yule dogo anipige za mbavu......ila baada ya sound za kihuruma huruma bonge akaamua kunitema japo yule mwingine alimind,pia nahisi walikuwa wameshakula nyingi wakahisi nitawaletea kiwingu hivyo wakaniachia
 
 
Kwani unafikiri ukiongea nao vizuri wana shida? Tatizo vijana wengi wamejaa ujuaji na kuvimba kusiko na msingi.
 
Jmos mida ya saa moja usiku ubungo maji, kama kuna mtu aliathirika na foleni humu anisamehe maana niligoma kuachia barabara had nilipwe, foleni lake sasa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Zinguana na mtu yeyote barabarani, mnaweza kuyamaliza kiungwana. Lakini sio mtu anaeendesha IST. Hapo lazima pachimbike!
 
Tafuta hela
Ndo ukipunyuliwa huko barabarani unakuwa sio mkali.

Kaka angu aliniambiaga, gari yake ya kwanza.. ukimpunyua utakoma aisee

Lkn alipozowea magari
Anaona ni kawaida, anakwambia ni mambo za barabarani.

Usisome kwa hisia 😒
Jmos mida ya saa moja usiku ubungo maji, kama kuna mtu aliathirika na foleni humu anisamehe maana niligoma kuachia barabara had nilipwe, foleni lake sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Nyie Ndiyo mnafanya rasta na matuta yajae barabarani!

Kwanini huwezi kuendesha chini ya 50kmph? Unafikiri walioweka speed limit wanavichaa?

Jitahidi kufuata sheria za mahali husika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…