Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

upo sahihi, Rwanda unaweza tembea umbali wa dar-chalinze kwa 50kph....
Mkuu, madereva kutoka mataifa jirani hakuna sehemu wanaenjoy kama wakiwa Tz..

Hakuna anae wabana, hawasimamishwi hovyo hovyo, yaani wako free sana!

Sasa wewe nenda kwenye nchi zao uone moto! Unawindwa masaa yote ukosee kidogo tu wapite nawewe..
 
Niimetoka Tanga Hadi horohoro sijasimamishwa hata mara moja,ila baada ya kuvuka border kuingia upande wa Kenya kuna barrier kibao ila wanauliza comesa insurance tu ukowaonesha wanakuacha uende, wengine wanakwambia waziwazi uwaachie hela ya sikukuu.
 
Nakubali mkuu!
Kikubwa tuishi kwa kufuata taratibu za mahali husika..
 
Mkuu, madereva kutoka mataifa jirani hakuna sehemu wanaenjoy kama wakiwa Tz..

Hakuna anae wabana, hawasimamishwi hovyo hovyo, yaani wako free sana!

Sasa wewe nenda kwenye nchi zao uone moto! Unawindwa masaa yote ukosee kidogo tu wapite nawewe..
Zambia ndio hakuna mtu wa kukubana wala hamna touch za kuviziana kama huku kwetu tuseme tu ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…