Ahsante sanaSafiri salama mkuu
Sahihi kabisa mkuuUjana+powerful car=early death.
Kila lenye kheri liwe mbele ya safari yako. Mungu akuongoze kwenye kila maamuzi yako barabarani yawe salama kwako.Wazee wa roads trips hasa usiku, Leo ndani ya T1,Dar to Tunduma tuonane, kituo msamvu around 1800 hrs,tuombeane heri
Sindikiza na kapicha mkuuDuh GX100 mnyama. Nimepaki karibu mwaka mzima,mvua jua vyote vyake leo nimeitolea uvivu. Nimefanyq service,battery nimeweka mpya. Jina moja chombo imewaka bila misfire yoyote! Mafundi wanang'ang'ania niwauzie! Hapa fundi anatoa matairi nikayajaze upepo kazi iendelee!
Sa sikiaDuh GX100 mnyama. Nimepaki karibu mwaka mzima,mvua jua vyote vyake leo nimeitolea uvivu. Nimefanyq service,battery nimeweka mpya. Jina moja chombo imewaka bila misfire yoyote! Mafundi wanang'ang'ania niwauzie! Hapa fundi anatoa matairi nikayajaze upepo kazi iendelee!
Mchanga wa Dar mzuri
Ya kushoto or kulia?Siti yako iko empty
View attachment 2520451
Hyo chuma usiuze mkuu, chuma imetulia sna road hyo ajali yake barabaran labda usinzieDuh GX100 mnyama. Nimepaki karibu mwaka mzima,mvua jua vyote vyake leo nimeitolea uvivu. Nimefanyq service,battery nimeweka mpya. Jina moja chombo imewaka bila misfire yoyote! Mafundi wanang'ang'ania niwauzie! Hapa fundi anatoa matairi nikayajaze upepo kazi iendelee!
Nina mpango wa kununua hii chuma kwa ajili ya safari tu
Kuna mshikaji wangu kanunua majuzi kwa ajili safari tu, town hapa anatumia suzuki cc 1300.Haitakuangusha. Hapa nasikiliza ikiunguruma roho inasuuzika sana.
😅😅 Bonge ni bonge la mwana. Hanaga noma kabisa.. ukitumia lugha ya kistaarabuN
NA huyo huyo bonge ndo alienisimamisha akanikabidhi kwa yule dogo anipige za mbavu......ila baada ya sound za kihuruma huruma bonge akaamua kunitema japo yule mwingine alimind,pia nahisi walikuwa wameshakula nyingi wakahisi nitawaletea kiwingu hivyo wakaniachia