kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Umeipiga na polish? Naona dash full mmeremeto mazee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeipiga na polish? Naona dash full mmeremeto mazee.
Umeitunza sana, pongezi kwako
Kila lenye kheri liwe mbele ya safari yako. Mungu akuongoze kwenye kila maamuzi yako barabarani yawe salama kwako.
Ameen mkuu, so far so good
Heri busara ilikuongoza kunyuti, kuna wanaojiaminigi kupitiliza na vyombo (haiwezi kaa hii mkali wa offroad), majuto huwa ni mjukuu.Nilikiwasha Cha field mbaya kabisa, nikakutana na maporomoko ya maji nikapita kwa shida, kufika mbele kidogo nikayakuta tena na hapapitiki, nilipojaribu kugeuka yale ya mwanzo nayo nikakuta yameongezeka na hakupitiki tena, nikakaa hapo kama kisiwani kuanzia saa tatu asbh mpaka kumi na moja jioni, na siku ikawa imeishia hapo nikageuka town baada ya maporomoko ya maji kupunguaView attachment 2521123
NikiamkaNilikiwasha Cha field mbaya kabisa, nikakutana na maporomoko ya maji nikapita kwa shida, kufika mbele kidogo nikayakuta tena na hapapitiki, nilipojaribu kugeuka yale ya mwanzo nayo nikakuta yameongezeka na hakupitiki tena, nikakaa hapo kama kisiwani kuanzia saa tatu asbh mpaka kumi na moja jioni, na siku ikawa imeishia hapo nikageuka town baada ya maporomoko ya maji kupunguaView attachment 2521123
Siku ingine usiyajaribu maji yanayotembea hata kimo cha ugoko.Nilikiwasha Cha field mbaya kabisa, nikakutana na maporomoko ya maji nikapita kwa shida, kufika mbele kidogo nikayakuta tena na hapapitiki, nilipojaribu kugeuka yale ya mwanzo nayo nikakuta yameongezeka na hakupitiki tena, nikakaa hapo kama kisiwani kuanzia saa tatu asbh mpaka kumi na moja jioni, na siku ikawa imeishia hapo nikageuka town baada ya maporomoko ya maji kupunguaView attachment 2521123
Naimani umefika salama kiongozi.Wazee wa roads trips hasa usiku, Leo ndani ya T1,Dar to Tunduma tuonane, kituo msamvu around 1800 hrs,tuombeane heri
Juzi nimeona kuna moja ilipostiwa mahali inauzwa kunamtu snaimiliki humu humu. ni Jz nyeupe ina ulimi mbili mbele.Duh GX100 mnyama. Nimepaki karibu mwaka mzima,mvua jua vyote vyake leo nimeitolea uvivu. Nimefanyq service,battery nimeweka mpya. Jina moja chombo imewaka bila misfire yoyote! Mafundi wanang'ang'ania niwauzie! Hapa fundi anatoa matairi nikayajaze upepo kazi iendelee!
Ndio mkuu nashukuru Mungu, nitaleta mrejesho wa T1&T2 soon InshaAllahNaimani umefika salama kiongozi.
Toyota-Vista
Hahaaa[emoji1787][emoji1787] naweza kukwambia tu, tunaofanya kazi ya kuhudumia jamii hatujifichiNikiamka
Napangusa hilo tope, ndio tuone hiyo cruiser ni ya wapi
Limenikumbusha letuHahaaa[emoji1787][emoji1787] naweza kukwambia tu, tunaofanya kazi ya kuhudumia jamii hatujifichi
Hotel nzuri sema mahala ilipo mmmh!View attachment 2522082
Nimepita apo mchana
NCAANikiamka
Napangusa hilo tope, ndio tuone hiyo cruiser ni ya wapi