Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh GX100 mnyama. Nimepaki karibu mwaka mzima,mvua jua vyote vyake leo nimeitolea uvivu. Nimefanyq service,battery nimeweka mpya. Jina moja chombo imewaka bila misfire yoyote! Mafundi wanang'ang'ania niwauzie! Hapa fundi anatoa matairi nikayajaze upepo kazi iendelee!
 
Sa sikia
Tuitoe mafua
Twenzetu mpaka Bagamoyo ‘go and return.

Nakusubiri hapa kwa Ndevu
 
Sindikiza na kapicha mkuu
20230217_150211.jpg
20230217_150055.jpg
 
Duh GX100 mnyama. Nimepaki karibu mwaka mzima,mvua jua vyote vyake leo nimeitolea uvivu. Nimefanyq service,battery nimeweka mpya. Jina moja chombo imewaka bila misfire yoyote! Mafundi wanang'ang'ania niwauzie! Hapa fundi anatoa matairi nikayajaze upepo kazi iendelee!
Hyo chuma usiuze mkuu, chuma imetulia sna road hyo ajali yake barabaran labda usinzie
 
N
NA huyo huyo bonge ndo alienisimamisha akanikabidhi kwa yule dogo anipige za mbavu......ila baada ya sound za kihuruma huruma bonge akaamua kunitema japo yule mwingine alimind,pia nahisi walikuwa wameshakula nyingi wakahisi nitawaletea kiwingu hivyo wakaniachia
😅😅 Bonge ni bonge la mwana. Hanaga noma kabisa.. ukitumia lugha ya kistaarabu
 
Back
Top Bottom