Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,740
Wale wapale magomeni ukitokea jangwani ndo zao hizo.Zebra zebra .. fine yake huwa inauma kinoma πππ nilishapigwa mkeka wa zebra roho iliuma kishenzi .. alafu trafic mwehu tu maana hakukuwa na watu, ila nilipo mkazia akanilima
Hahah wabongo au wakina nani hao mkuu?Wengi wanapenda magari yenye cc kubwa.. ππ
Na kitu bima hawataki kuambia watubkuwa hata 3rd party inalipa mtuHata traffic wanafanya makosa sana wanapokuja kupima ajali.
Wengi wanakwambia mmalizane kiuhalisia ni kazi ya bima.
Mimi nikikwangua mtu, bima italipa. Siumizi kichwa.
Britam insurance ina insure vyombo hivyo kwa ushirikiano na other partners.Kuna ukubwa wa makampuni yanaruhusiwa kukata bima za ndege.
Bima za ndege zote nadhani zinakatiwa bima UK au SA.
Kibongo bongo hakuna kampuni yenye uwezo wa kukata bima za vyombo hivyo.
Nilishaona miaka ya zamani kidogo pale Mwanza(Gold crest hotel) jamaa wa mark x aligongwa kwa nyuma na toroli na taa zikapasuka,jamaa akashuka akaicheki gari yake akamcheki na msela akawasha zake gari akasepa.Mkuu kuna mazingira mtu anakusababishia ajali na cha kukulipa hana....labda umtoe uhai..
Mimi nilishawahi kugongwa na daadala nyuma, kupambana na dereva ni katoto hakana leseni, daladala halina bima, kumsachi mfukoni ana elfu 50 tu, nikazichukua nikaenda kutengeneza gari kwa 250,000/....ila niliachana nae kiroho safi kwa sabau maisha ya barabarani bado yanaendelea......Sasa mtu kama huyo ningesema tuaze mambo ya polisi, ingekuwaje unadhani..?
Tanzania ibaki tu hivi hivi..
Wabongo mkuu.. kwani hupendi Nissan Y62 au VXR V8 ?Hahah wabongo au wakina nani hao mkuu?
Umejuaje, kama nimepita nimekuta wamekusanya kijiji.. nilivyo waona nikawa mpoleee speed 20 .. kwenye zebra nikasimama kabisa kuangalia kushoto na kulia.. balaa likawa kwa walio tanguliaππππWale wapale magomeni ukitokea jangwani ndo zao hizo.
Kuna siku nilidakwa pale, bahati nzuri nilikua na kijacho. Polisi mmama akaishia kumshushia kiti na kumwambia kuwa mtoto akizaliwa wakike apewe jina lake.
Mimi ambayo inayoniuma zaidi ni ile ya nenda kwa usalama sticker ya 3000 inakulamba 30000
Hela ya zebra inauma sana mkuu.. wakati mwingine unakuta hakuna watu, au kuna mtu mmoja nae hata hasomeki kama anataka kuvuka au lah.. mie kwa mfano issue ilikuwa ni kunyooka tu, pasipo kuangalia pande zote kama kuna mtu anataka kupitaHii nililambwa round about ya Kigogo,jumapili asubuhi 30,000 iliniuma ile!
Kweli mkuu, unqmwangalia mtu cha kukulipa hana, cha zaidi unaweza ukajikuta unazua balaa lingine....unaondoka tu huu roho inauma..Nilishaona miaka ya zamani kidogo pale Mwanza(Gold crest hotel) jamaa wa mark x aligongwa kwa nyuma na toroli na taa zikapasuka,jamaa akashuka akaicheki gari yake akamcheki na msela akawasha zake gari akasepa.
Hela ya Zebra inauma lakini haifikii hela ya seat belt.....[emoji28][emoji28][emoji28]..unakuta mtu haeleweki kuwa anavuka au havuki...unapunguza mwendo, ukipita tu jamaa anavuka, unakamatwa..Hela ya zebra inauma sana mkuu.. wakati mwingine unakuta hakuna watu, au kuna mtu mmoja nae hata hasomeki kama anataka kuvuka au lah.. mie kwa mfano issue ilikuwa ni kunyooka tu, pasipo kuangalia pande zote kama kuna mtu anataka kupita
Kama ujenzi wa barabara unaendelea, askari huwa wanavuna vikapu kwa vikapu...[emoji119][emoji119][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119]Wale wapale magomeni ukitokea jangwani ndo zao hizo.
Kuna siku nilidakwa pale, bahati nzuri nilikua na kijacho. Polisi mmama akaishia kumshushia kiti na kumwambia kuwa mtoto akizaliwa wakike apewe jina lake.
Mimi ambayo inayoniuma zaidi ni ile ya nenda kwa usalama sticker ya 3000 inakulamba 30000
Naomba siku nikusababishie ili janga πHela ya Zebra inauma lakini haifikii hela ya seat belt.....[emoji28][emoji28][emoji28]..unakuta mtu haeleweki kuwa anavuka au havuki...unapunguza mwendo, ukipita tu jamaa anavuka, unakamatwa..
Seat belt yenyewe unakuta umempa mtu lift.... Dadeki...
Ukishalimwa fine mpewa lift anakwambia "aisee pole sana, asante mimi naishia hapa..."
Ukiwa umelwwa hulipwi. Driving without valid licence hulipwi. Kuna certain negligence unakuwa allowed kama wrong overtaking nk.Comprehensive hata ukilewa ukagonga gari jingine yote yatatengenezwa,so nadhani kwa case zote 2 ni imeisha hioooooo.
ππππ.. anashuka anakuachia ka msala kako.. noma tupuHela ya Zebra inauma lakini haifikii hela ya seat belt.....[emoji28][emoji28][emoji28]..unakuta mtu haeleweki kuwa anavuka au havuki...unapunguza mwendo, ukipita tu jamaa anavuka, unakamatwa..
Seat belt yenyewe unakuta umempa mtu lift.... Dadeki...
Ukishalimwa fine mpewa lift anakwambia "aisee pole sana, asante mimi naishia hapa..."
Kwani seat belt ni kosa la asievaa au dereva? UK kama asievaa belt kavuka 18yrs anapigwa yeye fine,kama ni underage ndio dereva unawwjibika!Hela ya Zebra inauma lakini haifikii hela ya seat belt.....[emoji28][emoji28][emoji28]..unakuta mtu haeleweki kuwa anavuka au havuki...unapunguza mwendo, ukipita tu jamaa anavuka, unakamatwa..
Seat belt yenyewe unakuta umempa mtu lift.... Dadeki...
Ukishalimwa fine mpewa lift anakwambia "aisee pole sana, asante mimi naishia hapa..."