Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,740
Wale wapale magomeni ukitokea jangwani ndo zao hizo.Zebra zebra .. fine yake huwa inauma kinoma 😃😃😃 nilishapigwa mkeka wa zebra roho iliuma kishenzi .. alafu trafic mwehu tu maana hakukuwa na watu, ila nilipo mkazia akanilima
Kuna siku nilidakwa pale, bahati nzuri nilikua na kijacho. Polisi mmama akaishia kumshushia kiti na kumwambia kuwa mtoto akizaliwa wakike apewe jina lake.
Mimi ambayo inayoniuma zaidi ni ile ya nenda kwa usalama sticker ya 3000 inakulamba 30000