Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nilikiwasha Cha field mbaya kabisa, nikakutana na maporomoko ya maji nikapita kwa shida, kufika mbele kidogo nikayakuta tena na hapapitiki, nilipojaribu kugeuka yale ya mwanzo nayo nikakuta yameongezeka na hakupitiki tena, nikakaa hapo kama kisiwani kuanzia saa tatu asbh mpaka kumi na moja jioni, na siku ikawa imeishia hapo nikageuka town baada ya maporomoko ya maji kupungua
 
Heri busara ilikuongoza kunyuti, kuna wanaojiaminigi kupitiliza na vyombo (haiwezi kaa hii mkali wa offroad), majuto huwa ni mjukuu.
 
Nikiamka
Napangusa hilo tope, ndio tuone hiyo cruiser ni ya wapi
 
Siku ingine usiyajaribu maji yanayotembea hata kimo cha ugoko.
 
Juzi nimeona kuna moja ilipostiwa mahali inauzwa kunamtu snaimiliki humu humu. ni Jz nyeupe ina ulimi mbili mbele.
 
kama siku za hivi karibuni umepita mikumi, kona za iyovi, mbuyuni na ilula ukiwa ktk roadtrip, utakubaliana nami kwamba hali safi ya hewa, imefanya natural vegetation ya maeneo hayo iwe na mvuto sana.

embu tazama kipande hiki cha video nilichorekodi juzi nikiwa nashuka mlima kitonga.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…