nyanda madirisha
JF-Expert Member
- Apr 1, 2019
- 411
- 727
Nalielewa vinakuaga classic kinoma Yani.Hii gari ni nissan flani li v6 ni hatari. Ina muungurumo wa kibabe sana.
Kimepita hapa kina unguruma kama Simba nilijua tu ndani kitakua na v6Hii sio old,Ni gari ya miaka ya hivi karibuni inatengenezwa na NISSAN,Ila imekuwa inspired au imevaa body ya RollsRoyce phantom ya 1960s.pia usione ndogo kiumbo ila wameweka engine kubwa humo ya v6
Kwahio ushakata mswakiIlichoma cylinderhead ila ilikaaa sawa safari ikaendelea kama kawaida
Inaitwa Nissan Mitsuoka Galue seriesNalielewa vinakuaga classic kinoma Yani.
Mmmh! Kulikua na Mghamba ya Tanga Bukona via Kahama banaHakuna kiongozi
Kwahio ushakata mswaki
Hakika gari ni hela jamani, imagine account iko empty umejikakamua halafu mara imenoki engine ghafla.Zamani saaana sasa hivi naongelea Arusha Hapa kesho Naingia Dom
Unamuita fundi alivute mpaka gereji kwake kisha madogo wa gereji wawe wanapumzikia kama hakuna kazi.Hakika gari ni hela jamani, imagine account iko empty umejikakamua halafu mara imenoki engine ghafla.
iliwahi nikuta hii, nimetoka mtwara na Rx300(1mz engine) naenda tunduma, ile nakaribia pale mbalizi kuelekea ifisi nikasikia kishindo na chuma ikazima ghafla. kushuka oil ipo kwenye lami. akaitwa fundi pale kucheki aksema hii ngoma imepasua block. sasa solution ilikuwa ni kununua engine nyingine na sina hela, nikaona isiwe kesi nikaivutia gari kwa Aunt mitaa ya isyesye na kununulia turubai. ilikaa pale miezi 5 ndo nikapachika engine nyingine. ukipeleka gari garage ikae hata week 2 tu unaweza piga fundi maana itakuwa store yao.Unamuita fundi alivute mpaka gereji kwake kisha madogo wa gereji wawe wanapumzikia kama hakuna kazi.
Huwa napenda sana night trips ingawa usiku ni usiku tu but napendaga ule ukimya wa barabarani.kwa muda huo wajinga wengi wamelala wanabaki wenye uzoefu na barabara.WAZEE WA ROAD TRIP
Saa Tisa Usiku naianza safari ya Dar to Dodoma
BMW X5 anaetaka lift Pm
Kama ndio umekopa halafu a/c haisomi utaanza kuuza kimoja kimoja🤣🤣🤣Hakika gari ni hela jamani, imagine account iko empty umejikakamua halafu mara imenoki engine ghafla.
Tupo pamoja in a whattsup group kuhusu nights trips, upo right wajinga wote wanakuwa wameshalala ,maana ni box to box na ITs, Iyovi Pass, kitonga pass, milima nyoka pass ni fast &slow corners, breaking zones na sweeping corners!!!Huwa napenda sana night trips ingawa usiku ni usiku tu but napendaga ule ukimya wa barabarani.kwa muda huo wajinga wengi wamelala wanabaki wenye uzoefu na barabara.
Yani hapo breakdown ingehusika kisha inapelekwa sheli ya jirani 😀! Ila kipunga kikiwepo unachanja tu M kadhaa kitu kinapakiliwa mpaka eneo la tukio. Ndio raha ya hela ilipo.Kama ndio umekopa halafu a/c haisomi utaanza kuuza kimoja kimoja🤣🤣🤣
Usiku ni kweli sababu hewa inakuwa imepoa yani Oxygen ya kutosha chombo haiteseki kufua moto, wachawi wa serikali hakuna yani we ni mwendo wa raba raba tu. Lami imepoa chances za tyre kupasuka hamna maana lami imepoa.Huwa napenda sana night trips ingawa usiku ni usiku tu but napendaga ule ukimya wa barabarani.kwa muda huo wajinga wengi wamelala wanabaki wenye uzoefu na barabara.
Hahahah saa9 sio usiku mzee. Hio asubuhi tayari, ilitakiwa uanze saa 5 night kuichakata lami hapo ndio ungeinjoy kupiga zile 140-200 bila kero. Sasa ikishafika saa 12 tu tayari wakuda wamejazana road unaanza kusumbuka na zile 50/50.WAZEE WA ROAD TRIP
Saa Tisa Usiku naianza safari ya Dar to Dodoma
BMW X5 anaetaka lift Pm