Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG-20230428-WA0150.jpg
 
Unamuita fundi alivute mpaka gereji kwake kisha madogo wa gereji wawe wanapumzikia kama hakuna kazi.
iliwahi nikuta hii, nimetoka mtwara na Rx300(1mz engine) naenda tunduma, ile nakaribia pale mbalizi kuelekea ifisi nikasikia kishindo na chuma ikazima ghafla. kushuka oil ipo kwenye lami. akaitwa fundi pale kucheki aksema hii ngoma imepasua block. sasa solution ilikuwa ni kununua engine nyingine na sina hela, nikaona isiwe kesi nikaivutia gari kwa Aunt mitaa ya isyesye na kununulia turubai. ilikaa pale miezi 5 ndo nikapachika engine nyingine. ukipeleka gari garage ikae hata week 2 tu unaweza piga fundi maana itakuwa store yao.
 
Huwa napenda sana night trips ingawa usiku ni usiku tu but napendaga ule ukimya wa barabarani.kwa muda huo wajinga wengi wamelala wanabaki wenye uzoefu na barabara.
Tupo pamoja in a whattsup group kuhusu nights trips, upo right wajinga wote wanakuwa wameshalala ,maana ni box to box na ITs, Iyovi Pass, kitonga pass, milima nyoka pass ni fast &slow corners, breaking zones na sweeping corners!!!
 
Huwa napenda sana night trips ingawa usiku ni usiku tu but napendaga ule ukimya wa barabarani.kwa muda huo wajinga wengi wamelala wanabaki wenye uzoefu na barabara.
Usiku ni kweli sababu hewa inakuwa imepoa yani Oxygen ya kutosha chombo haiteseki kufua moto, wachawi wa serikali hakuna yani we ni mwendo wa raba raba tu. Lami imepoa chances za tyre kupasuka hamna maana lami imepoa.
 
WAZEE WA ROAD TRIP



Saa Tisa Usiku naianza safari ya Dar to Dodoma
BMW X5 anaetaka lift Pm
Hahahah saa9 sio usiku mzee. Hio asubuhi tayari, ilitakiwa uanze saa 5 night kuichakata lami hapo ndio ungeinjoy kupiga zile 140-200 bila kero. Sasa ikishafika saa 12 tu tayari wakuda wamejazana road unaanza kusumbuka na zile 50/50.
 
Back
Top Bottom