Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Kuna pikipiki zinakimbia aiseee. Kuna siku natokea Singida, tulivyofika maeneo ya karibia na chalinze ilikuja pikipiki nyuma wala sio kubwa sana ilitukata tukiwa 150, mbele kulikuwa na crown, akamkata na yule mwenye crown taratibu kama masihara maana ilikuwa ni sehemu barabara imenyooka. Gari zima tukabaki tunacheka[emoji16][emoji16]. Yule mwamba hata sijui pikipiki gani ile alikuwa anapepea tu.Umenikumbusha, mwezi uliopita nilikutana na Fortuner kwenye stretch moja iliyonyooka, akataka kuweka ligi, nilikuwa na Bike, nikavuta mpaka 220kph, alikaa chini. Kama yupo humu na anakumbuka kukutana na bike maeneo ya kanda ya ziwa, ningefurahi Kuchota naye.